King’asti
Platinum Member
- Nov 26, 2009
- 27,866
- 24,976
duuh, unazidi kunshoosha kaka Shori ahahaha.
toka mdogo unajiita shori? uko nchi gani?
toka mdogo unajiita shori? uko nchi gani?
Miss chaga punguza mabango twende sawa, Shori ni jina langu nalotumia tangu msingi hadi chuo sio jina bandia wala halimanishi kitu kingine tafadhali.
Kwa sasa chupi nafua mwenyewe.
Last edited by a moderator: