Mliopo ndani ya ndoa nisaidieni

Mliopo ndani ya ndoa nisaidieni

Kwanza jiulize wewe unalichukuliaje hilo??
Ninachojua mimi MUME kumfulia MKE nguo za ndani au MKE kumfulia MUME ni mapenzi tu na sio kanuni wala lazima
Kuna mengi sana hufanywa ndani ya ndoa ila ni kwa upendo si amri na inapokua amri ni wazi kwamba hakuna mapenzi hapo zaidi ya mmoja kuwa mtumwa wa mwenzie

NB:Kama wewe ni KE signature chini inahusika
 
Nmekupata mama D
 
Kwa mfano mchumba wako akwambie umfulie chupi yake kabla hujamuoa utajiskiaje?....Hivyo hivyo kwenye ndoa utaendelea kufanya....
 
na wasi wasi na uwanaume wako user name yako tu... afu acha uvivu wa kufua chupi sawa mkuu we uvae mwenyewe nije nikufulie kwa kupenda labda lakini isiwe kama sheria ... wewe sa hivi nani anakufulia?
 
Miss chaga punguza mabango twende sawa, Shori ni jina langu nalotumia tangu msingi hadi chuo sio jina bandia wala halimanishi kitu kingine tafadhali.

Kwa sasa chupi nafua mwenyewe.
 
kiukweli unatupa was sana na uanaume wako. Usije ukawa unamenyewa hata biskuit na wanaume wenzio
 
Haina noma mkuu, asante kwa kuweka picha yako
 
Miss chaga punguza mabango twende sawa, Shori ni jina langu nalotumia tangu msingi hadi chuo sio jina bandia wala halimanishi kitu kingine tafadhali.

Kwa sasa chupi nafua mwenyewe.
kama unafua mwenyewe hata ndani ya ndoa fua mwenyewe akipenda ni sawa
 
mm nafua mwenyewe na sio za ndan tu bali nguo zote........ Mke wangu ni mchaga akikuta hela niliyosahau mfukon hanirudishii. Kwahyo nikampiga stop kunifuria

natamani nipate mwanaume anayesahau hela kwenye suruali yaani nitamfulia kila kitu aisee
 
Back
Top Bottom