Mliopo ndani ya ndoa nisaidieni

Mliopo ndani ya ndoa nisaidieni

me ninavyojua SHORI ni msamiati unamaanisha mwanamke
shori = mwanamke(kikenya)
ndo maana wadau wanashangaa

Sio kenya tu hata tanzania ila Shori lmetumika km
demu mitaan tayar mimi
nikiwa mkubwa na jina
langu
 
Unawezaje kujiita shori?

Shori lmetumika km
demu mitaan tayar mimi
nikiwa mkubwa na jina
langu. Kama mwalimu wako wa kiswahil ulimwelewa kwenye 'misimu' hutanisumbua
 
Labda jaribu kum-gogo kupitia nchi ya Kameruni

Shori lmetumika km
demu mitaan tayar mimi
nikiwa mkubwa na jina
langu. Kama unafaham maana ya misimu katika lugha hutanismbua.
 
Ukiona hii issue ya kufua kufuli lako ni shida basi nunua mashine ya kufulia,nyingine zinakausha kabisaa wewe ni kupiga pasi au kuvaa tu!
 
Imagine sauti ya kike imekasirika, afu inatoka stiriooo

Huwa raha kweli ikigombeza na yake maneno ya kizungu 'i het yuu, i het yuuu', basi hapo namkingia kifua anakipiga piga weeee, akichoka nambeba kwapani tayare kwa next episode.


Namaanisha, sijaogopa wala :A S embarassed:

Heshima na didhamu ndio kitu cha mhimu katika maisha yangu kama kwako sio kitu, basi shika hamsini zako staki maudhi.
 
Kuuliza si ujinga ''eti walopo ndani ya ndoa, nguo za ndani kila mtu hufua zake au kuna kufuliana?"

NATAKA KUJUA ILI NIKIOA ISIWE SHIDA

Mapenzi hayana formula na hayaigwi,fanya kile moyo wako na mpenzi wako mnaridhika na kufurahi hata mkubadilishana chupi siku moja moja sio mbaya. Kiongozi usiige hata siku moja kwenye mapenzi coz itakuwa kuigiza.
 
Kuuliza si ujinga ''eti walopo ndani ya ndoa, nguo za ndani kila mtu hufua zake au kuna kufuliana?"

NATAKA KUJUA ILI NIKIOA ISIWE SHIDA

Kufuliana kupo ndugu tena huambiwi fua yan huwa inatokea automatic tu
 
Back
Top Bottom