Mliopo ndani ya ndoa nisaidieni

Mliopo ndani ya ndoa nisaidieni

hahahaaa everlenk hivi kuna mtu hakuwahi kufundishwa kufua chupi utotoni?? wa kufua kwa kulazimishwa ni mtumwa na si mapenzi jamani

Na kweli sijui walivyokuwa tangu wamebalehe nani alikuwa anawafulia? baadhi yao ni wachafu sana unakuta mtu

kavaa boxer wiki nzima imegina inatoa smell la hatari halafu kavaa kata k,mwenzangu tuwafuliage tu maana hawa

watu wanashida sana hawaoni kero kuvaa hivyohivyo, tusipowafulia tutachekwa siye!!!!!
 
Kuuliza si ujinga ''eti walopo ndani ya ndoa, nguo za ndani kila mtu hufua zake au kuna kufuliana?"

NATAKA KUJUA ILI NIKIOA ISIWE SHIDA

Unajiita shori halafu unataka kuoa?
 
inategemea na mapenzi mliyonayo ndani ya ndoa! kufuliana ni kitu cha kawaida na kinaleta raha kama mmeoga wote lakini c kumfanya mmojawao awe mtumwa wa kumfulia mwenzie mara kwa mara, inabidi itokee mara mojamoja tena kistarehe zaidi! na kumpa house girl afue chupi zenu ni utovu wa nidham ni sawa na kumvulia kabisaaaaa.
 
Kusaidiana muhimu, pia ni njia mojawapo ya kuonyesha mapenzi na kujali pia
 
Bwana/Bibi Shori, kwa kweli swali ulilouliza nalichukulia kama la kitoto! Sijajua ni malezi au umri wako ndio chanzo!

Hebu nijuze, baba yako na mama yako wamekuwa wakiishije?
 
Last edited by a moderator:
Dah kazi ipo. Haya si mambo kila wanandoa wanajipangia wenyewe?
 
huwezi jua mambo ya ndoa wakati sio mwanachama,na ndoa ya mwenzako si sawa na ya mwingine,so tafuta namna nzuri ya kuishi na m2 wako sio mbinu za kwingine unahamishia kwako UTAFELI WEWE
 
Kuuliza si ujinga ''eti walopo ndani ya ndoa, nguo za ndani kila mtu hufua zake au kuna kufuliana?"

NATAKA KUJUA ILI NIKIOA ISIWE SHIDA

hakuna formula ni wewe tu na roho yako
 
Back
Top Bottom