Mliopo ndani ya ndoa nisaidieni

Mliopo ndani ya ndoa nisaidieni

Swali lako nilitaka kulileta hapa kama malalamiko ya mama mmoja tukiwa kwenye maongezi ila kwa vile umeuliza ngoja niweke hii Query kutoka kwa huyu mwanamama

Ni mama wa watoto wawili mapacha kwa sasa wana miezi tisa,,ni mfanyakazi na anaondoka kwake saa moja kuelekea kazini na kurudi saa 11:30 jioni..
Asubuhi lazima aamke saa kumi na moja kuacha ameweka kila kitu sawa kwa ajili ya watoto na famiy
..Mmewe kwa sasa yupo tu nyumbani lakini akishinda home anashinda kwenye matembezi ,TV,na magazeti..
Kinachomshangaza mama huyu ni kuwa mmewe akiamka kitandani mama watoto anakuwa kishaondoka kwenda kazini akirudi kitanda hakijatandikwa inabidi aanze kazi ya kurekebisha kitanda na kuangalia kama watoto wako ok ,wamekula ama kuna shida ya yoyote na kushughulikia mambo mengine

mmewe hata Boxer anashindwa kufua utamsikia anauliza hivi mama Fulani naona nguo zangu za ndani zote chafu... inabidi mama wa watu aanze kufua.achilia mbali nguo zake za kuvaa
Pia matumizi ya ndani mama anajitahidi kwa 50% to assist

Je hii ni haki wanaume ? huyu mama kila akitaka kumwambia mmewe anashindwa
Je kwenye ndo hivyo kumtumikia mme kuanzia nyumba ,uvuaji ,mapishi na kila kitu yeye anatakiwa kula tu ,kuoga ,kulala na kutoa matumizi?
 
Mpe dada wa kazi atakufulia tu chupi ni nguo kama sidiria, vest ama kitambaa cha kufuta jasho. .
Angalizo:inabidi uchunge usafi kwenye himaya zako ili hata mkeo ama mume akikufulia isiwe kero kwake.

Ahsante nmekupata
 
Kuuliza si ujinga ''eti walopo ndani ya ndoa, nguo za ndani kila mtu hufua zake au kuna kufuliana?"

NATAKA KUJUA ILI NIKIOA ISIWE SHIDA

mwanaume unajiita SHORI[SHORTY] huku kwetu shori ni demu
 
Kujifunza kwa kukariri kutakufksha pabaya.

Kuna majina km Tony, Shori, na mengneyo yanatumika kwa jinsia zote. Kaelimishe na wenzio
 
Swali lako nilitaka kulileta hapa kama malalamiko ya mama mmoja tukiwa kwenye maongezi ila kwa vile umeuliza ngoja niweke hii Query kutoka kwa huyu mwanamama

Ni mama wa watoto wawili mapacha kwa sasa wana miezi tisa,,ni mfanyakazi na anaondoka kwake saa moja kuelekea kazini na kurudi saa 11:30 jioni..
Asubuhi lazima aamke saa kumi na moja kuacha ameweka kila kitu sawa kwa ajili ya watoto na famiy
..Mmewe kwa sasa yupo tu nyumbani lakini akishinda home anashinda kwenye matembezi ,TV,na magazeti..
Kinachomshangaza mama huyu ni kuwa mmewe akiamka kitandani mama watoto anakuwa kishaondoka kwenda kazini akirudi kitanda hakijatandikwa inabidi aanze kazi ya kurekebisha kitanda na kuangalia kama watoto wako ok ,wamekula ama kuna shida ya yoyote na kushughulikia mambo mengine

mmewe hata Boxer anashindwa kufua utamsikia anauliza hivi mama Fulani naona nguo zangu za ndani zote chafu... inabidi mama wa watu aanze kufua.achilia mbali nguo zake za kuvaa
Pia matumizi ya ndani mama anajitahidi kwa 50% to assist

Je hii ni haki wanaume ? huyu mama kila akitaka kumwambia mmewe anashindwa
Je kwenye ndo hivyo kumtumikia mme kuanzia nyumba ,uvuaji ,mapishi na kila kitu yeye anatakiwa kula tu ,kuoga ,kulala na kutoa matumizi?

dah condorezaraisi huyu mwanaume ni katili sana kwa kweli
mke wake jembe anatunza familia yeye hana kazi anashindwa hata kutoa support?? maskini huyu mama atafanya lakini kuna siku atachoka na hapo ndio mtiti utaanza oooh mke wangu kabadilika.......na haya na yale
Wanaume mkipata wanawake waelewa wapendeni msiwafanye watumwa na heshma yenu itadumu.......
Huyu baba alitakiwa aamke asubuhi kusaidiana na mkewe hata akikuta za mkewe chafu afue bila kulalamika
 
mhhh! jamani siyo lazima kuanzisha uzi unaweza kuwa mchangiaji tu kama mimi.

chupi yako,kuvaa uvae wewe,kuchafua uchafue wewe, kufua afue mwingine hayo ni majanga!!!!

Hakuna sheria ila huwa tunafanya kwa upendo tu.
 
Amen sredi na ifungwe
 
hahahaaa everlenk hivi kuna mtu hakuwahi kufundishwa kufua chupi utotoni?? wa kufua kwa kulazimishwa ni mtumwa na si mapenzi jamani
 
Swali lako nilitaka kulileta hapa kama malalamiko ya mama mmoja tukiwa kwenye maongezi ila kwa vile umeuliza ngoja niweke hii Query kutoka kwa huyu mwanamama

Ni mama wa watoto wawili mapacha kwa sasa wana miezi tisa,,ni mfanyakazi na anaondoka kwake saa moja kuelekea kazini na kurudi saa 11:30 jioni..
Asubuhi lazima aamke saa kumi na moja kuacha ameweka kila kitu sawa kwa ajili ya watoto na famiy
..Mmewe kwa sasa yupo tu nyumbani lakini akishinda home anashinda kwenye matembezi ,TV,na magazeti..
Kinachomshangaza mama huyu ni kuwa mmewe akiamka kitandani mama watoto anakuwa kishaondoka kwenda kazini akirudi kitanda hakijatandikwa inabidi aanze kazi ya kurekebisha kitanda na kuangalia kama watoto wako ok ,wamekula ama kuna shida ya yoyote na kushughulikia mambo mengine

mmewe hata Boxer anashindwa kufua utamsikia anauliza hivi mama Fulani naona nguo zangu za ndani zote chafu... inabidi mama wa watu aanze kufua.achilia mbali nguo zake za kuvaa
Pia matumizi ya ndani mama anajitahidi kwa 50% to assist

Je hii ni haki wanaume ? huyu mama kila akitaka kumwambia mmewe anashindwa
Je kwenye ndo hivyo kumtumikia mme kuanzia nyumba ,uvuaji ,mapishi na kila kitu yeye anatakiwa kula tu ,kuoga ,kulala na kutoa matumizi?

Huyo kazidi anakuwa mzgo amsaidie mkewe
 
Kuna wanaume ni mizigo balaa!!! Maisha ya ndoa ni kusaidiana siyo utumwa,ukimtumikisha mwanamke sana hata chakula ya usiku itakuwa dhaifu.
 
Back
Top Bottom