Valentina
R I P
- Oct 12, 2013
- 24,688
- 28,834
Tunazinije tenaKumbe humu watu wengi mnazini tuu??
Tunazinije tenaKumbe humu watu wengi mnazini tuu??
Comments zako zimeenda shule ad natamani kukufahamu.Katangaze ndoa, ndoa za watu hazifanani
Kama bado hujaolewa ni vizuri ukiolewa na rafiki yako wa muda mrefu wa kiume tena usiogope mwambie wewe tu unampenda awe mume wako basi.
Matatizo makubwa ya ndoa za sasa hazikuunganishwa na upendo tangu awali, ndio maana hata huko Facebook mke wa mtu kila siku atajibinulisha matako lakini hakuna siku utamuona kaweka picha na husband wake wapo kwenye pozi.
Ndoa za mwendokasi hizi za kutowa nuksi ni shida tupu zikidumu sana ni miaka mitatu, na kile kilichowaunganisha (pesa) kikipotea na penzi linapotea.
Utaweza tu ukishaingia kuna changamoto nyingi sana kuna kufurahi na kuchukia.Hapo chachaaaa,,,kuna ile kumkifu mtu unataka mpeane muda hivii ,,yaan mi nawaza sana sijui kama ntaweza
Ooh yeah.Baba Samira kwani we umeoa?
Kuna muda kulala peke yako inachosha lakin kuna muda mwili unahitaji ulale peke yako na marafiki zako wa kike n.kHizi ndoa bana zipo za aina mbili
1. Kunawalio oa ilikusogeza huduma ya mgegedo karibu hawa ndio sikuzote hawaishi kulalamika
2. Kunatuliooa kutimiza maandiko sie ndio wale ambao ndoa zetu hudumu katika mapendo furaha na amani ( MAFUA )mpaka kufikia hatua ya kuambiwa mke na mume mmefanana
Huyo divorced hafai hata kwa Xmass

Wewe ukiona cha nini wenzako wanajiuliza watakipata lini!Kwa hiyo mimi ulinidanganyaaa kua hujaoa
Ninajitahidi, japo ni ngumu wakati mwingineHizo siku unaweza vumilia
Umetisha eti mke na mume kufananaHizi ndoa bana zipo za aina mbili
1. Kunawalio oa ilikusogeza huduma ya mgegedo karibu hawa ndio sikuzote hawaishi kulalamika
2. Kunatuliooa kutimiza maandiko sie ndio wale ambao ndoa zetu hudumu katika mapendo furaha na amani ( MAFUA )mpaka kufikia hatua ya kuambiwa mke na mume mmefanana
ni kweli lkn mie huwa najipongeza mwenywe kwa miaka mingi naona nitakaribia kufanana na mr.Ukimpata mwenye nyumba siting room kama uwanja wa taifa je?mimi nadhani kama ikitokea nikaolewa nitakuwa na chumba changu na huyo babe cha kwake kwanza vitu vitakuwa vingi humo chumbani .saa ingine mtu unaitaji space eti !
sijakuelewaUkimpata mwenye nyumba siting room kama uwanja wa taifa je?
Uanaikili sana vile nyota yangu sio tu ila nnaham sana na weweHao nao walikosea bana, hawakujiuliza kwanini refa anaingia uwanjani na kadi nyekundu.....
Hii ni kwa sababu walikua na wake wengihapana tutaishi tu vizuri mbona zamani mababu zetu walikuwa na magheto yao babu kule bibi kule na waliishi tu vizuri mkuu
Kwani hua mnatafuta tu eeh?tafuta mwenye pesa ukichoka unaenda vacation ha nitapigwa mawe najua lakini ndiyo hivyo
Akaja pata ondoa mana inategemea kunali kilichopo kwanza utakua na amaniMi naamin unaweza ishi na mwanaume ana uwezo wa kawaida tu na akaja akapata pesa,huwezi taka uishi na tajiri tu weeee