Kweli kwa stahili hii mchepuko milele... Yaani unamkifu mpenzi wako.....?Hapo chachaaaa,,,kuna ile kumkifu mtu unataka mpeane muda hivii ,,yaan mi nawaza sana sijui kama ntaweza
Yeah kuvumiliana tuuukwakila haliChallenge mojawapo ni kutofautiana kwa mood za sex,huyu anajisikia Mara huyu hajisikii,wanawake Mara nyingi visingizio kibao Mara tumbo linauna,kesho nimechoka,sijisikii,cha msingi ni uvumilivu tu
Alaaa kuumbe.....kaite na kale kabinti basi twendenako....Si nakusubiri twende tumpitie matola tukamtembezee atoke hapo villa park
mm mbona ngum saan
Wewe huna babu na bibi, baba mama, au shangazi na mjomba wa kuwauliza maswali hayo? Mimi naona hapa utapata majibu mchanganyiko na utaishia kuchanganyikiwa tu.Hey mambo;!!
Hivi mnakumbana na kero zipi kwenye ndoa?
Je unapenda kulala kitanda kimoja kila siku na mmeo?
Kwanini kusiwe na vitanda viwili chumbani ili kuna muda au siku nyingine kila mtu alale mwenyewe?
Mnawezaje kuishi wote kwa muda mrefu maana kuna muda unatakiwa uwe na marafiki zako
ndugu wa mume /mke unakabiliana nao vipi ?
Mi naona kama ndoa ni ngumu hiviii halaf unakuwa haupo huru
Hebu tupeni mawili matatu ili nasi tushawishike japo tunuse ndoa maana naona kuishi mwenyewe ni raha unajiamulia unavyotaka au sio![]()
Unamdanganya mwenzio baada ya wewe mwenyewe kudanganyika.
Hata mi nna hamuUanaikili sana vile nyota yangu sio tu ila nnaham sana na wewe
Teh hivo hivo tu buana anafaa , kuliko dagaa bora huyoHuyo divorced hafai hata kwa Xmass![]()
![]()
![]()
Kunywa maji mwanangu .......Unamdanganya mwenzio baada ya wewe mwenyewe kudanganyika.
Baada ya kudanganywa sana na kudanganyika ndio umefikia hitimisho hilo!....ni sawa na kusema, sizitaki mbichi hizi.
Vv
Ngumu kama chapati za Tsh 150 😀mm mbona ngum saan
lini hiyo?hapana tutaishi tu vizuri mbona zamani mababu zetu walikuwa na magheto yao babu kule bibi kule na waliishi tu vizuri mkuu
Nakuja pmHata mi nna hamu
hahaaa....
ushauri wako tafadhali mkuu