miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,805
- 49,104
Ha ha ha hayaKwani hua mnatafuta tu eeh?
Usitake mwenzio wamchovye kupindukia bhanaaa
Ha ha ha hayaKwani hua mnatafuta tu eeh?
Usitake mwenzio wamchovye kupindukia bhanaaa
Japo sio langu wewe huwezi hizo siku 60Hizo siku unaweza vumilia
Unamuacha haraka sanaaaa hafu unaoa mwingineAcheni woga. Inaonekana wengi humu wanapenda zinaa so hawaoni umuhimu Wa kuoana.
But ndoa ndio mchezo mzima. Wala ya halali Mungu aliyo ruhusu.
Alafu mkishindwa vumiliana ujue wewe unaudhaifu. Aliye kamili ni Mungu muumba si binadamu mwenzio, sasa kwanini akushinde.
Lengo
Tafuta kwa nini unaoa au unaolewa.?
Kugombana kupatana ni moja ya majaribu so jitahidi uyashinde.
Mfano.
Mko kwenye ndoa miaka 7 make anakwambia umuache eti kakuchoka. Unatrace unakuta hakupendi, kuna mwingine anampenda na unamjua. Wewe unampenda mkeo. Je utafanya nini?
Vitu vitajaa chumbanisijakuelewa
ndio kila mtu chumba chakeVitu vitajaa chumbani
Sasa unapata mume ana bonge la jumbaaa sitingroom kama uwanja wa taifa bado utahitaji chumba chako?
Valentina, lugha ya ughaibuni hii!!Nimependa hapo
"Marry u'r best friend"
Hebu nimwite Nyani Ngabu anitafsirie hapoValentina, lugha ya ughaibuni hii!!
Nakuvizia ukienda lala tu naenda maeneo ya karibu nala batandio kila mtu chumba chake
Kwa mtazamo huu, wewe ni mtalaka mtarajiwa.Hey mambo;!!
Hivi mnakumbana na kero zipi kwenye ndoa?
Je unapenda kulala kitanda kimoja kila siku na mmeo?
Kwanini kusiwe na vitanda viwili chumbani ili kuna muda au siku nyingine kila mtu alale mwenyewe?
Mnawezaje kuishi wote kwa muda mrefu maana kuna muda unatakiwa uwe na marafiki zako
ndugu wa mume /mke unakabiliana nao vipi ?
Mi naona kama ndoa ni ngumu hiviii halaf unakuwa haupo huru
Hebu tupeni mawili matatu ili nasi tushawishike japo tunuse ndoa maana naona kuishi mwenyewe ni raha unajiamulia unavyotaka au sio![]()
Nimeingia Mwanza punde, karibu Diamond nitakula hapo msosi wa usiku.Jamaniiii matola wetu jamaniii hata kutualika hakuna,ujue matola tumetoka mbalio sieee
Nimeingia Mwanza punde, karibu Diamond nitakula hapo msosi wa usiku.Jamaniiii matola wetu jamaniii hata kutualika hakuna,ujue matola tumetoka mbalio sieee
Nimeingia Mwanza punde, karibu Diamond nitakula hapo msosi wa usiku.Jamaniiii matola wetu jamaniii hata kutualika hakuna,ujue matola tumetoka mbalio sieee
Ooo utakuwepo mpaka lini ,mi nipo kahama mara moja ila kesho kutwa ntakua Mwanza,upo na naniNimeingia Mwanza punde, karibu Diamond nitakula hapo msosi wa usiku.
Nimeingia Mwanza punde, karibu Diamond nitakula hapo msosi wa usiku.
Ooo utakuwepo mpaka lini ,mi nipo kahama mara moja ila kesho kutwa ntakua Mwanza,upo na nani
Umetisha eti mke na mume kufanana![]()
![]()
ni kweli lkn mie huwa najipongeza mwenywe kwa miaka mingi naona nitakaribia kufanana na mr.

Yaaan nmecheka saana
Tutalala huko huko, sawa?Twende basiii
Kwa nini?Hakuna kurudii,ila hakuna kunywa konyagi marufukuuu
