Siempre Hechos
JF-Expert Member
- Dec 9, 2016
- 1,228
- 1,530
Marriage is all about take and give.
Mi naamin unaweza ishi na mwanaume ana uwezo wa kawaida tu na akaja akapata pesa,huwezi taka uishi na tajiri tu weeeeKwangu mimi maisha Maxuri sana,,Ni mwaka 6 sasa,,nijiona mwanaume Niliye kamili coz ninamke na Mtoto mmoja,Mke wangu mzuri sana hasa Maumbilee yake ,,yanahamasisha kila Siku, Kitu kinachosababisha nikose hamu ni Pesa tu,,nikiwa sina but kukaa na wife sichoki hata yeye hachoki maana ndoa yetu IPO freee sana ,Nikiwa single nitakosa heshima yangu milele kwa ndugu, na kwa mtoto wangu mpendwa ,,so . Mnaokata tamaaa kateni but maisha ya ndoa ni mazuri sana,Tatizo kwa Mabinti wengi Wanapenda kwanza Pesa, vingine badae na ndio sababu ya kuchokana ,,
Wala usiogope..marry ur best friend u will enjoy. Kutofautiana kupo but mnarejea km kawaida soon..cz ht mkigombana mkanunuana utafeel ur missing something na unashangaa mtaongea tu....yn hizo picha za hao kuku kwangu naona tofauti..sasa hivi hips na tako limezidi mwenzio....Kwa hiyo ndoani ni ndoanoo
Asantee shoga anguWala usiogope..marry ur best friend u will enjoy. Kutofautiana kupo but mnarejea km kawaida soon..cz ht mkigombana mkanunuana utafeel ur missing something na unashangaa mtaongea tu....yn hizo picha za hao kuku kwangu naona tofauti..sasa hivi hips na tako limezidi mwenzio....
Usikurupuke tu kuolewa...au usiolewe sababu eti sijui una mimba..UTAJUTA lol..
halafu katika ndoa MUNGU lazma umpe nafasi kubwa...sali sali sali..
Nimependa hapoWala usiogope..marry ur best friend u will enjoy. Kutofautiana kupo but mnarejea km kawaida soon..cz ht mkigombana mkanunuana utafeel ur missing something na unashangaa mtaongea tu....yn hizo picha za hao kuku kwangu naona tofauti..sasa hivi hips na tako limezidi mwenzio....
Usikurupuke tu kuolewa...au usiolewe sababu eti sijui una mimba..UTAJUTA lol..
halafu katika ndoa MUNGU lazma umpe nafasi kubwa...sali sali sali..
umri umri umri?Hey mambo;!!
Hivi mnakumbana na kero zipi kwenye ndoa?
Je unapenda kulala kitanda kimoja kila siku na mmeo?
Kwanini kusiwe na vitanda viwili chumbani ili kuna muda au siku nyingine kila mtu alale mwenyewe?
Mnawezaje kuishi wote kwa muda mrefu maana kuna muda unatakiwa uwe na marafiki zako
ndugu wa mume /mke unakabiliana nao vipi ?
Mi naona kama ndoa ni ngumu hiviii halaf unakuwa haupo huru
Hebu tupeni mawili matatu ili nasi tushawishike japo tunuse ndoa maana naona kuishi mwenyewe ni raha unajiamulia unavyotaka au sio![]()
Mimi wife hua nampa likizo, kama siku 60 hivi kila mwaka... Anaenda kwetu mwaka huu, mwaka mwingine kwao, akirudi kawa mpya, na mimi muda huo nakua nina hamu nae kweli kweliHapo chachaaaa,,,kuna ile kumkifu mtu unataka mpeane muda hivii ,,yaan mi nawaza sana sijui kama ntaweza
Watoto unabaki nao au wako boarding!Mimi wife hua nampa likizo, kama siku 60 hivi kila mwaka... Anaenda kwetu mwaka huu, mwaka mwingine kwao, akirudi kawa mpya, na mimi muda huo nakua nina hamu nae kweli kweli
Chi zi weweHey mambo;!!
Hivi mnakumbana na kero zipi kwenye ndoa?
Je unapenda kulala kitanda kimoja kila siku na mmeo?
Kwanini kusiwe na vitanda viwili chumbani ili kuna muda au siku nyingine kila mtu alale mwenyewe?
Mnawezaje kuishi wote kwa muda mrefu maana kuna muda unatakiwa uwe na marafiki zako
ndugu wa mume /mke unakabiliana nao vipi ?
Mi naona kama ndoa ni ngumu hiviii halaf unakuwa haupo huru
Hebu tupeni mawili matatu ili nasi tushawishike japo tunuse ndoa maana naona kuishi mwenyewe ni raha unajiamulia unavyotaka au sio![]()
KabisaChi zi wewe
Tena tahira kabisa weweAsante chiz mwenzangu