Mliopo kwenye ndoa !!

Mliopo kwenye ndoa !!

mimi nadhani kama ikitokea nikaolewa nitakuwa na chumba changu na huyo babe cha kwake kwanza vitu vitakuwa vingi humo chumbani .saa ingine mtu unaitaji space eti !
uko nikunyimana.wakati wakufunga ndoa mnaambiwa tayari mmekua mwili mmoja kwa nn muanze kujitenga tenga.na papuchi ndo apo chanzo cha kumpa mumeo kwa nadra
 
uko nikunyimana.wakati wakufunga ndoa mnaambiwa tayari mmekua mwili mmoja kwa nn muanze kujitenga tenga.na papuchi ndo apo chanzo cha kumpa mumeo kwa nadra
hapana tutaishi tu vizuri mbona zamani mababu zetu walikuwa na magheto yao babu kule bibi kule na waliishi tu vizuri mkuu
 
hapana tutaishi tu vizuri mbona zamani mababu zetu walikuwa na magheto yao babu kule bibi kule na waliishi tu vizuri mkuu
mababu zamani wengi walikua na nyumba ndogo ndo maana .na kwa siku hawezi kosa papuchi ya kula ilikua.
 
hapana tutaishi tu vizuri mbona zamani mababu zetu walikuwa na magheto yao babu kule bibi kule na waliishi tu vizuri mkuu
Nahisi wewe ni mangi nimecheka sana Babu kule na Bibi kule sasa wanakutana saa ngapi.
 
Mimi na mke wangu tuna master bed room lakini ina vitanda viwili kila mtu cha kwake.Ni muda mrefu na tuko poa.Anayetaka kuteta na mwenzie ndiye anamfuata mwenzie.Changamoto kubwa ni kwamba mmoja akitaka neno anakuta mwenzake hataki kusikia neno.Kununiana kunaanzia hapo.Mara oh huko ulikokuwa umeongea sana na wengine ndiyo maana hutaki kuongea na mimi...
 
Njoo whatsapp nikupe ubuyu
Sasa we Dina,ulishaniambia ni mimi tu,tena ukasema mimi ni one and only au?,sasa mambo ya kugawa ubuyu sijui nanihii au nini mimi sikuelewi,pia nikiukuoa tutalala kitanda kimoja siku zote ila pale ukiniudhi au nikikuudhi au kama huajakua msafi basi ujue utalala chumba cha pili peke yako au vipi?,kingine ujue kuna period zingine hukaribisha jini mahaba chumbani,kwa hiyo ikibidi lazima ukalale chumba cha peke yako.
 
Back
Top Bottom