Dejane
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 51,002
- 72,284
- Thread starter
- #141
Sitak kabisa ,,,mwanaume gan hukojoi weweeeee cc BehaviouristKwa nini?
Unaogopa gemu kali kama lile la siku ile?
![]()
![]()
![]()
![]()
Sitak kabisa ,,,mwanaume gan hukojoi weweeeee cc BehaviouristKwa nini?
Unaogopa gemu kali kama lile la siku ile?
![]()
![]()
![]()
![]()
Jumatano first flight, unajuwa sisi wachumi hizi flight za mapema tunapata kapunguzo humo.Ooo utakuwepo mpaka lini ,mi nipo kahama mara moja ila kesho kutwa ntakua Mwanza,upo na nani
I wish i could have a baby gal, i love it i don't know why!Labda yupo na Samira....
They are the best man.I wish i could have a baby gal, i love it i don't know why!
Napenda sana ila sijabahatika bado, cha ajabu kibailojia wanasema ni rahisi kupata mtoto wa kike kuliko wa kiume ila kwangu ni tofauti zinatoka njemba tu, wacha nibadili style sasa.They are the best man.
Na uzuri ukimlea vizuri anakuwa karibu na wewe na mnakuwa ma bff....raha sana aisee.

Kama uchumi unaruhusu siku hizi unaweza kuchagua jinsia ya mtoto.....Napenda sana ila sijabahatika bado, cha ajabu kibailojia wanasema ni rahisi kupata mtoto wa kike kuliko wa kiume ila kwangu ni tofauti zinatoka njemba tu, wacha nibadili style sasa.
Nakuona ngoshaKwa nini?
Unaogopa gemu kali kama lile la siku ile?
![]()
![]()
![]()
![]()
We Muree kalale ukue...Nakuona ngosha
Unanifukuza ili ufanye nini?We Muree kalale ukue...
Badili basi style pigia hata sebuleni,jikoni,chooni hahahaNapenda sana ila sijabahatika bado, cha ajabu kibailojia wanasema ni rahisi kupata mtoto wa kike kuliko wa kiume ila kwangu ni tofauti zinatoka njemba tu, wacha nibadili style sasa.
Niko tayari
Kuku kaelekea kibra unauliza nini tena?Uko tayari kufanywa nini?