Mliopo kwenye ndoa !!

Mliopo kwenye ndoa !!

duh jumapili hii nilikua nikatangaze ndoa kanisani .kama ndo hivi ngoja nibaki na ubachelor wangu tu .hakuna namna
Acha mambo ya media, hao amani wamefikia umri lakini hawajaoa, wanashida zao, oa au olewa tunza familia, ndoa inachangamoto na pia ubachela unachangamoto pia. Utafanya, ufska mpaka lini? Babako na mamako hawaishi pamoja?
 
Cha kwanza unapokuwa unaingia kwenye ndoa inabidi ujue na ukumbuke kila mara kuwa mwenzio ni binadamu kama wewe. Lazima ana mapungufu mengi tu. Na hasa mnapokuwa mnaishi pamoja ndo mengine yatajitokeza na sio kwamba alikuwa anaficha makucha.

Basing on this, mengine yote ni secondary. Ila mawasiliano lazima yawepo katika mahusiano yeyote. Mungu lazima atawale katika ndoa na pia uvumilivu lazima uwepo na siku zote usilete mazoea kwenye ndoa. Yaani usimchukulie poa mwenzio. Strive to be better, spice up your marriage.

Ndoa ni tamu bana.
 
Kuwa single raha unajiamulia unachotaka,ukiwa ndoani ni kama kifungo hivii,, halaf muishi eti miaka yote hee je mkichokana inakuwajee maana sie ni binadam sio malaika
Huwezi kufananisha kuwa single na kuwa katika ndoa. Ni kama kufananisha mbingu na ardhi.

Usiseme kuchokana, sema kuzoweana.

Kumbuka kwenye ndoa kuna watoto and believe me ukishapata mtoti/watoto ndo unaanza kuishi. Maisha yako yanakuwa na maana sasa.

Everything you do, you do it for your kids. Furaha inaongezeka, kuchokana tupa kuleeee.

Acha uoga.
 
Kuwa single ni Sawa ila itakuwa single daima? huwa mnafikiri khs uzee? huwa unafikiri kuhusu kuumwa? na je vp khs familia?unachokichuma Sasa Ni Nani atakuja kusimamia pindi unapoumwa,au unapozeeka? Pia tuache kujipa moyo japo huenda wengine tuliachwa kwa ujinga wetu....ndoa ndio maisha na changamoto zilizomo Ni kawaida tu,huwezi kuishi ukiwa pekee hata mwili wako unakataa.Hzo picha zisikudanganye Mkuu,Hzo Ni ideas za walioachwa ktk ndoa na huo Ndo mwisho wa akili zao.Picha Hzo Ni mfano mfu na kama wazazi wako wangeziona na kuzingatia picha Hzo sidhani kama Leo ungekuwepo.
 
Hapo chachaaaa,,,kuna ile kumkifu mtu unataka mpeane muda hivii ,,yaan mi nawaza sana sijui kama ntaweza
Kama bado hujaolewa ni vizuri ukiolewa na rafiki yako wa muda mrefu wa kiume tena usiogope mwambie wewe tu unampenda awe mume wako basi.

Matatizo makubwa ya ndoa za sasa hazikuunganishwa na upendo tangu awali, ndio maana hata huko Facebook mke wa mtu kila siku atajibinulisha matako lakini hakuna siku utamuona kaweka picha na husband wake wapo kwenye pozi.

Ndoa za mwendokasi hizi za kutowa nuksi ni shida tupu zikidumu sana ni miaka mitatu, na kile kilichowaunganisha (pesa) kikipotea na penzi linapotea.
 
Very true bro.
 
Kuwa single ni Sawa ila itakuwa single daima? huwa mnafikiri khs uzee? huwa unafikiri kuhusu kuumwa? na je vp khs familia?unachokichuma Sasa Ni Nani atakuja kusimamia pindi unapoumwa,au unapozeeka? Pia tuache kujipa moyo japo huenda wengine tuliachwa kwa ujinga wetu....ndoa ndio maisha na changamoto zilizomo Ni kawaida tu,huwezi kuishi ukiwa pekee hata mwili wako unakataa.Hzo picha zisikudanganye Mkuu,Hzo Ni ideas za walioachwa ktk ndoa na huo Ndo mwisho wa akili zao.Picha Hzo Ni mfano mfu na kama wazazi wako wangeziona na kuzingatia picha Hzo sidhani kama Leo ungekuwepo.
Hiyo sio point mkuu. Ninachokichuma anaweza kukisimamia mtoto wangu. Kumbuka naweza kuwa na mtoto bila mke.
Kuwa single ni Sawa ila itakuwa single daima? huwa mnafikiri khs uzee? huwa unafikiri kuhusu kuumwa? na je vp khs familia?unachokichuma Sasa Ni Nani atakuja kusimamia pindi unapoumwa,au unapozeeka? Pia tuache kujipa moyo japo huenda wengine tuliachwa kwa ujinga wetu....ndoa ndio maisha na changamoto zilizomo Ni kawaida tu,huwezi kuishi ukiwa pekee hata mwili wako unakataa.Hzo picha zisikudanganye Mkuu,Hzo Ni ideas za walioachwa ktk ndoa na huo Ndo mwisho wa akili zao.Picha Hzo Ni mfano mfu na kama wazazi wako wangeziona na kuzingatia picha Hzo sidhani kama Leo ungekuwepo.
 
Kama bado hujaolewa ni vizuri ukiolewa na rafiki yako wa muda mrefu wa kiume tena usiogope mwambie wewe tu unampenda awe mume wako basi.

Matatizo makubwa ya ndoa za sasa hazikuunganishwa na upendo tangu awali, ndio maana hata huko Facebook mke wa mtu kila siku atajibinulisha matako lakini hakuna siku utamuona kaweka picha na husband wake wapo kwenye pozi.

Ndoa za mwendokasi hizi za kutowa nuksi ni shida tupu zikidumu sana ni miaka mitatu, na kile kilichowaunganisha (pesa) kikipotea na penzi linapotea.
Asante kwa ushauriii matola
 
Huwezi kufananisha kuwa single na kuwa katika ndoa. Ni kama kufananisha mbingu na ardhi.

Usiseme kuchokana, sema kuzoweana.

Kumbuka kwenye ndoa kuna watoto and believe me ukishapata mtoti/watoto ndo unaanza kuishi. Maisha yako yanakuwa na maana sasa.

Everything you do, you do it for your kids. Furaha inaongezeka, kuchokana tupa kuleeee.

Acha uoga.
Ushauri mzuri huu
 
tafuta mwenye pesa ukichoka unaenda vacation ha nitapigwa mawe najua lakini ndiyo hivyo
 
Heeeee. Umeoa mara ngapi??
Hahahaha......hata mimi mwenyewe bado sijitambui! huraaaaa....!

Just joking somtime! but ndoa tamu asikwambie mtu, unaishije bila kuwa na soul mate wa kumuadidhia issue zako za ndani? mtu wa kusikiliza aides zako regardless hata kama ni pumba kiasi gani atakusupport na kukutia moyo? so ni vyema sana kuona umuhimu wa kuwa na mwenza wako pasipo kujali changamoto zilizopo.
 
Back
Top Bottom