Plot281
JF-Expert Member
- Nov 24, 2016
- 875
- 455
INABIDI AJE AISEEMkuu HARUFU kesho si ndio leo, malizia ile stori ya binti wa kilokole.
HAHAHA MKUU UNA KUMBUKUMBU
Usipate shida... Binti mlokole niko hapa...Nataka tu watoto wangu wale bata maisha mazuri maana Mimi nimetokea familia ya chini,pia now Nina uwezo wa kupay bills bila shida
Waooo.
Teh swali la msingi ni kwamba nyie mtaweza wokovu?Waooo.
Huyu kolabo yetu ataiweza kweli shost?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Akikupenda kikwelikweli ataacha ulokoke, kwahiyo yatakua yaleyale.. Ka vp oa yeyote halafu uwe unamuita Mlokole
Sent using Jamii Forums mobile app
Hili nalo neno ujue.
Pole sanaMaisha yangu yapo poa sana now,sijisifii ila naongea ukweli, financially nipo vizuri sana,sasa nataka kuoa,huku duniani kumeharibika sana nataka kuoa binti mlokole nimehisi wao watakuwa wana afadhali,mliooa walokole tupeni uzoefu tafadhali
Sent using Jamii Forums mobile app