ema nuel
JF-Expert Member
- Nov 12, 2017
- 570
- 577
Chochote kitakachoendelea ndani ya familia yako kinapelekwa kwa mchungaji kama kilivyo...
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Roho mbaya tena??? Kwa mtindo huu tutakuwa hatuoi[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Jiandae, mara nyingi atashinda na kukesha kwenye maombi, kila utakachomwambia hadi kikapitishwe na baba mchungaji, roho mbaya ndo kwao mkifanana roho hakijaharibika kitu
Hiyo changamoto, huyo Dada wa kazi atapata tabu sana[emoji23] [emoji23] [emoji23]Unaijua mikesha na makongamano ya kusafiri hata wiki 2. Achana na semina za kina mama. Anakuwa na trip za kutisha huko church sasa ratiba tight kinoma. Utakuwa unashinda home na dada wa kazi
Sent using Jamii Forums mobile app
Ntaenda naye kibishi hivyo hivyoKila la heri. Hapo inabidi nawe uokoke ili mwende sawa vinginevyo hutamwelewa kwa kuhudhuria sana semina na makongamano
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwamba wao wanawaza dini muda woteMke mlokole jamani anafaa lakin kwenye akili ya kuchanganua maendeleo bado wapo nyuma
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa mtindo huu tutakuwa hatuoi akyanani vileAisee wanawake walokole ni wazuri sana maana wengi walisha fanya dhambi sana ndio mana wakaokoka .. wanaanza maisha upya..
yaani wakitulia na msela wanatulia haswa maana wamesha pitia mapigo yote..
ttz la walokole wengi ni wachakavu huwezi kuta ngoma mbichi lazima kilometa ziwe zimesoma mzee
Ngoja nitafute huo wimbowengi wanagegedwa na wachungaji au watoto wa wachungaji..
kwa kisingizio cha maombi, maono au kushukiwa na roho
rejea wimbo wa "Dunia haina huruma"
Sent using Jamii Forums mobile app
pia humpenda na kumuamini mchungaji asisahau hilo.wanampenda yesu Kristo zaidi kuliko mume
Kwamba wachungaji ndo kila kitu kwaoChochote kitakachoendelea ndani ya familia yako kinapelekwa kwa mchungaji kama kilivyo...
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo itakuwa ngumu mapambio afanyie nyumbani tu ruksasaa 8 usiku kwenda kupiga mapambio na hakuna kumsindikiza
[emoji106]Jiandae, mara nyingi atashinda na kukesha kwenye maombi, kila utakachomwambia hadi kikapitishwe na baba mchungaji, roho mbaya ndo kwao mkifanana roho hakijaharibika kitu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Unaijua mikesha na makongamano ya kusafiri hata wiki 2. Achana na semina za kina mama. Anakuwa na trip za kutisha huko church sasa ratiba tight kinoma. Utakuwa unashinda home na dada wa kazi
Sent using Jamii Forums mobile app
Sahihi kabisa.Kila la heri. Hapo inabidi nawe uokoke ili mwende sawa vinginevyo hutamwelewa kwa kuhudhuria sana semina na makongamano
Sent using Jamii Forums mobile app
Duh!!!wengi wanagegedwa na wachungaji au watoto wa wachungaji..
kwa kisingizio cha maombi, maono au kushukiwa na roho
rejea wimbo wa "Dunia haina huruma"
Sent using Jamii Forums mobile app