Mliooa mtupe mrejesho sisi mabachela

Mliooa mtupe mrejesho sisi mabachela

Ndoa mwanzonii unajiuliza Kwanini ulichelewa kuoa,Lakini Siku zinavyo zidi kwendaa.Vitimbwi ndo vinaanza .

Ndo kale ka msemo "Ndoa ni uvumilivu"kana anza kufanya kazi.

Kadiri Siku zinavyo zidi kusogea kale ka msemo ka" Ndoa ni geraza la kujitakia" ndo una anza kukaelewa.

Badaee mshapata watoto una anza kusema "Watoto tu ndo wanafanya niwe kwenye ndoa" mbali na hapo,ninge tembea.

Baadae tena una anza kujiuliza" Hivi Kwanini nilioa? Una laod,una kosa sababu then unaendelea kulisongesha life.

Eti Wewe Kwanini unataka kuoa?
mkuu unaniogopesha hadi nawaza kuachana hilo wazo la kuoa
 
Hakuna kitu mkuu, na hii iwe comment ya mwisho tafadhari.
 
Nimekosa uhuru kabisa,kutumia simu tu ni mtihani,mara aniongeleshe wakati niko nasoma nyuzi za watu humu mara anilalie nishindwe kutumia simu

Natamani kupata mwanya wa kula mbususu mpya zinazojileta nakosa

Suruali zangu za kadeti zinapauka sana kwasababu ya kufuliwa sana na mashuka pia yanafuliwa mpaka yanachakaa ndani ya muda mfupi

Kiukwel siifurahii ndoa,hata hivyo toka zamani nilikuwa sipendi ila niligandwa nikajikuta nimekamatwa kizembe
Umenichekesha aiseee hapo kwenye nguo kufuliwa
 
Faida
1. Kupata support na mtu wa karibu kwenye hali zote, shida na raha, kuumwa, kufurahi.
2. Kupunguza upweke na uhakika wa kus3x wakati wowote.
3. Kuwa na majukumu hivyo kukuongezea chachu ya kufanya bidii
4. Kuepusha na tabia hatarishi kama michepuko ulevi kupindukia ili kuwa muaminifu n.k
5. Kuwa na familia yako inayoendana na jamii na maadili

Hasara
1. Kupoteza uhuru wako binafsi wa kujiamlia chochote bila kuulizwa au kumkwaza yeyote
2. Kuwa na gharama na majukumu makubwa ya kumhudumia mke, familia na mengineyo.
3. Kugawana mali zako na mtu mwingine asie ndugu yako.
4. Kuvumilia kero ndogo ndogo na drama za kuwa na mtu mwingine kwenye maisha yako kila siku na mikwaruzano ya mitazamo na maono tofauti ya ufanyaji mambo, malezi na utashi tofauti.
5. Kula mboga moja miaka yote (mboga ni tafsida).
6. Kuchapiwa japo hujui
 
Imeisha hiyo, tuliojaliwa na MUNGU kupata majiko mema ngoja tuendelee kutembea vifua mbele tukifurahia uwepo wa amani, upendo na furaha ya ndoa
Hapo ndo mnapo kosea hakuna aliyapatia kuoa mpaka unaingia kaburini kuna watu wamedumu miaka 20 wengine mpaka 30 lakini wakaachana kwa maumivu ambayo hawawezi kuyasahau mpaka wanaingia kaburini na walikuwa wanapendana,

vizuri kama sasa ndoa yako ina amani just enjoy the show kwenye ndoa hakuna mshindi mkeka mda wowote unabadilika mpaka unaweza ukadata kuna kisa kimoja kilitokea kwa wanandoa mpaka naona ndoa ni gereza linalotembea.
 
Napenda kushauri vijana wenzangu waache umalaya na waoe hilo ni jambo zuri kwao.....tena waoe katika umri mdogo na sio miaka 30 kwenda juu........oa tu hakuna maisha mengine zaidi ya hayo.oa Allah akiwajaalia rizki ya watoto leeni mkae msubiri kufa tu.hakuna kipya chini ya jua.yangu ni hayo

Sent from my vivo 1907 using JamiiForums mobile app
 
Wewe kama mimi tu..ebu tushauriane katika hayo.

#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna namna mkuu mi nimeshakubaliana na matokeo.

Nguo acha apaushe ntanunua zingine lakini mbususu mpya lazima nile,kuna muda huwa namwambia kiutani utani kuwa nataka nimtafutie ka mke mwenza kazuriiiii ili nimponyeshe wivu alionao maana ana wivu wa hatari anaweza lia siku 2 au 3 mfululizo akihisi kuna demu nataka kumla
 
Faida
1. Kupata support na mtu wa karibu kwenye hali zote, shida na raha, kuumwa, kufurahi.
2. Kupunguza upweke na uhakika wa kus3x wakati wowote.
3. Kuwa na majukumu hivyo kukuongezea chachu ya kufanya bidii
4. Kuepusha na tabia hatarishi kama michepuko ulevi kupindukia ili kuwa muaminifu n.k
5. Kuwa na familia yako inayoendana na jamii na maadili

Hasara
1. Kupoteza uhuru wako binafsi wa kujiamlia chochote bila kuulizwa au kumkwaza yeyote
2. Kuwa na gharama na majukumu makubwa ya kumhudumia mke, familia na mengineyo.
3. Kugawana mali zako na mtu mwingine asie ndugu yako.
4. Kuvumilia kero ndogo ndogo na drama za kuwa na mtu mwingine kwenye maisha yako kila siku na mikwaruzano ya mitazamo na maono tofauti ya ufanyaji mambo, malezi na utashi tofauti.
5. Kula mboga moja miaka yote (mboga ni tafsida).
6. Kuchapiwa japo hujui
Kusema kweli tunaoa ili tuzae kwa ustaarabu na uaratibu..ila mengine yote ni overrated tu.

Mana sex sikuhizi ukitaka unapata muda wowote chamsingi pesa tu.

#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna namna mkuu mi nimeshakubaliana na matokeo.

Nguo acha apaushe ntanunua zingine lakini mbususu mpya lazima nile,kuna muda huwa namwambia kiutani utani kuwa nataka nimtafutie ka mke mwenza kazuriiiii ili nimponyeshe wivu alionao maana ana wivu wa hatari anaweza lia siku 2 au 3 mfululizo akihisi kuna demu nataka kumla
Suala la mbususu nje muhimu sana hii..chamsingi ni kuwa makini tu na kuilinda familia..

Mimi nishamwambia ajiandae kwa mke mdogo asee..siwezi kuwa na mke mmoja mimi..mama ndio mmoja tu sio hawa wanawake.

#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom