Mervin
JF-Expert Member
- Sep 28, 2021
- 1,917
- 2,643
Na haya ni machache tu[emoji3][emoji3]. La sivyo ungejaza page nzima[emoji1]Nimekosa uhuru kabisa,kutumia simu tu ni mtihani,mara aniongeleshe wakati niko nasoma nyuzi za watu humu mara anilalie nishindwe kutumia simu
Natamani kupata mwanya wa kula mbususu mpya zinazojileta nakosa
Suruali zangu za kadeti zinapauka sana kwasababu ya kufuliwa sana na mashuka pia yanafuliwa mpaka yanachakaa ndani ya muda mfupi
Kiukwel siifurahii ndoa,hata hivyo toka zamani nilikuwa sipendi ila niligandwa nikajikuta nimekamatwa kizembe