Mliooa mtupe mrejesho sisi mabachela

Mliooa mtupe mrejesho sisi mabachela

Yaani mimi nikae kukueleza raha za ndoa, ili kukusahwishi uoe.

We kaa bachela niache nifaidi utamu wa ndoa.
Kila mmoja na maisha yake.
 
Huu uzi maalum kwa wale waliooa; tunataka kujua faida mnazozipata baada ya kuoa au tuseme ni kitu gani mnaweza tushawishi sisi ambao hatujaoa tuchukue hatua kama nyinyi, hebu mtupe faida mnazozipata baada ya kuoa ambazo sisi mabachela hatuzipati.
Hamna issue,ndoa ni muhimu kwa mwanamke sababu ya maumbile yao na tamaduni kwa mwanaume siyo lazima,tena kama hujastablerize financially ndo kabisa usithubutu kumchukua binadamu mwenzio aje kukufundisha namna ya kuishi !!
 
Nimekosa uhuru kabisa,kutumia simu tu ni mtihani,mara aniongeleshe wakati niko nasoma nyuzi za watu humu mara anilalie nishindwe kutumia simu

Natamani kupata mwanya wa kula mbususu mpya zinazojileta nakosa

Suruali zangu za kadeti zinapauka sana kwasababu ya kufuliwa sana na mashuka pia yanafuliwa mpaka yanachakaa ndani ya muda mfupi

Kiukwel siifurahii ndoa,hata hivyo toka zamani nilikuwa sipendi ila niligandwa nikajikuta nimekamatwa kizembe
Upande wa simu na kupauka kwa cardet tupo pamoja
 
Back
Top Bottom