Mliooa mnastahili pongezi

Kukabidhiwa au kukabidhi?
Kukabidhiwa, hivi unaelewa kuwa wale waliokabidhiwa bendera mara nyingi wanakuwa nyumbani ili kusikiliza matatizo mbali mbali wa wananchi wao
mbali ya hivyo kuna kupandisha alfajiri na kushusha jioni
 
wanawake ni viumbe ambao hawaeleweki wanataka na hawataki nini pamoja na kua mama zetu na dada zetu lakini hamna kitu
Duh ukifika 60s kuna kuoa tena? Labda kwa aliefiwa/mtalaka na amezoea kuishi na mke
 
Mkuu, subiri ufike miaka 40 kila rafiki yako ana familia anawahi nyumbani akakae na familia yake ndo utajua umuhimu wa kuoa.

Hakuna raha kama kufahamu kuna watu ambao maisha yao yanakutegemea wewe completely.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…