BABA TUPAC
JF-Expert Member
- Sep 30, 2015
- 1,526
- 3,802
Kuna maswali mengine huonekana ni ya kijinga lakini yana maana.
Kwa wadau ambao mmeoa na nyumba unayoishi sio master bedroom, nyumba nzima mnatumia choo kimoja hivi boxer zenu huwa mnaanika wapi?
Hapa mjini tuvyumba tudogo, ukisema uanike tu chumbani chumba kitakuwa kinanuka harufu ya uvundo na ukianika bafuni naona noma wageni wakija au beki tatu anaona boxer zangu... hahaaha
Mnaanika wapi boxer zenu?