Mliooa "boxer" mnaanika wapi?

mke wangu anazianika nje kweupe maana boxer ni kama soksi na leso tu ila zake anaanika M/bedroom toilet
 
Nina boxer saba rangi tofauti wife ananikomalia nisirudie, Tukiwa ugenini ndio sijui wapi anaanikaga ila home ni master


Mkuu boxer inapaswa ianikwe nje na ipate hewa na jua sio ndani
 
Mkuu boxer inapaswa ianikwe nje na ipate hewa na jua sio ndani
Mama Mkwe akizikuta haitapendeza, au ukitembelewa na wageni wa heshima itakuaje.


Bora nianike chumbani to,tatizo lenu boxer mnazo 1 lazima mzianike juani "kauka nikuzae".
 
Yaani. Nimekuona mdogo wangu nikajikuta nashutuka .

Kulikoni mdogo wangu ulifichwa, nilifichwa au tulijificha?
hahaha me naona tulijificha halafu kila mmoja akawa anamsikilizia mwenzie atatokea lini,

Nimeanza mimi kujitokeza mafichoni... lol
 
unaanika nje ila unatafuta kanga unafunikia kwa juu na kubana na vibanio zisianguke. Nguo za ndani pamoja na soks zinapaswa kuwanikwa juani ili kuua fungus.

Kufunika kwa kanga labda za wanawake ,boxer hazina shida kuanikwa tu wazi maana nikama bukta au kaptula ndogo .Kwani vikaptula vya watoto wa kiume miaka miwli hadi minne mnaanika wapi? Naona vipo sawa tu na boxer
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom