Mlioijaribu Bia ya Arusha almaarufu "Banana", hebu tupeni feedback

Aisee arif hilo zaga ni kwere babalai..nilikulaga ile Raha Poa tano nikalala mlangoni mpaka asubuhi. Enzi ile ikiwa kwenye chupa ya kioo unafungua kwa process kama kizibo cha rejeta iliyochemsha.
Umenifanya nicheke sana mkuu,hiyovkitu ni kwereee arifu
nilijipigilia vyupa vyangu hapo mitaa ya sanawari karibu na simba grili,nikapandisha zanu sanawari ya juu, nilipoingia geto sijui ni nini kiliendelelea jombaaa! Hakika pombo ni mwanakharamu
 
Mshua aliitest hiyo kitu siku moja akwa na rafiki zake, walimdanganya ni sawa na wine ya kawaida, akapiga chupa 4 , hakika alifika nyumbani kwa bahati ya Mungu, na sitakaa nisahau,maana nilihisi mzee atakufa, daaah, nilishindwa kwenda hata chuo hiyo siku nikabaki naangalia afya y mzeee, mpaka leo hii hana hamu na hiyo kitu
 
Busta zenu ndogo!!mi nishazipiga sanaaaa na nilikua naweza piga had 8,na nipo fresh!!tatzo lenu chkula hamli vizur!!unakula pombe afu umeshindia mahindi ya kuchoma??lzm ikupige chini
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom