Mliofundishwa unyago njooni mtufundishe hapa

Labda uwe mwali kigego ndio utatoa siri za 'mkoleni'! Unaanzaaje kuyaanika ya unyagoni hapa JF!!
Mademu wa siku iz wana maadiri basi,ukiwa nae faraghani kila kitu anakwambia,anakupa mtandao wa simu itakuwa ya unyagoni
 
kawaida tu hakuna cha ziada!
Mko tofauti asee... Nliwahi kutana na mtot wa kingoni aliyepita huko... Ni shida.. On bed ni shida, jikoni ndo balaa.. Usafi ndo Mahala pake
Adabu na Mahaba... Inshort they are very organised ni handling a man..
Mtoto akitengea msosi.. Hanyanyuki mpaka ule ushibe.. Ndo ashike mengine...
I miss that woman asee..
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] inategemea umewekwa jandoni ktk umri gani?
 
Hawa wa siku hizi kungwi wao shetani! Anawafundisha mambo mengine laana kabisa kwenye ndoa...
 
Mko tofauti asee... Nliwahi kutana na mtot wa kingoni aliyepita huko... Ni shida.. On bed ni shida, jikoni ndo balaa.. Usafi ndo Mahala pake
Adabu na Mahaba... Inshort they are very organised ni handling a man..
Mtoto akitengea msosi.. Hanyanyuki mpaka ule ushibe.. Ndo ashike mengine...
I miss that woman asee..
Kwa nini hukuoa jiko hilo mkuu
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] inategemea umewekwa jandoni ktk umri gani?
Daah Yule alikuwa hatar sana.. Psychology ya mwanaume yote alikuwa nayo kwenye kiganja..
Kabla hata hujasema kishajiongeza... [emoji7]
 
Back
Top Bottom