Mliofundishwa unyago njooni mtufundishe hapa

Uko unyagoni hamna jipya! Ni hayahaya ya kila siku .. Na upotoshaji ndio mwingi.. Utaskia unaambiwa ujiingize vidole kusafisha k etc!
 
Mko tofauti asee... Nliwahi kutana na mtot wa kingoni aliyepita huko... Ni shida.. On bed ni shida, jikoni ndo balaa.. Usafi ndo Mahala pake
Adabu na Mahaba... Inshort they are very organised ni handling a man..
Mtoto akitengea msosi.. Hanyanyuki mpaka ule ushibe.. Ndo ashike mengine...
I miss that woman asee..
Ilikuaje ... Mbona umemiss na haupo nae!
 
Hahahahaaa, jamani nani anawadanganya unyago upo insta sijui watsup? Kuna kuokota mizungu, utaokotaje insta? Kuna kutapishwa, utatapishwaje insta sijui watsup?!! Na vyote hivyo vina maana zake. Mwende kwa wanaotoa hizo huduma km wataweza kuwapika effectively maana nnachojua mimi wana familia yako ndo wahusika cz mambo ni mengi na yanahitaji usimamizi na utulivu wa hali ya juu!!!
Usiwamwagie mtama, walishaona unyago unafundishwa mitandaoni!!?
 
Ila tusidharau mila zetu jamani kuna vitu mi mwenyewe viliniacha mdomo wazi huko unyagoni mana sikuwahi kuviona wala kuviskia before! Mfano maji ya kunywa kuweza kumtambua binti alie bikra na ambae kashapopolewa na wahuni, mpaka leo nikikumbuka nachoka! Mtu hakuvui chupi wala hajui huko kwa bibi kuna rangi gani lkn maji tu kunywa kashapata majibu bila wasiwasi na wewe mwenyewe ni shahidi kwa utakachokiona, amaizing!!!
Asiyejua maana usimpe maana waache waende usiwape faida ya bure!!!!
 
Asiyejua maana usimpe maana waache waende usiwape faida ya bure!!!!
Hahahaha, shughuli pevu ile hata kuisamaraizi huwezi, sawa na degree kuipata ndani ya wiki moja
Wakahenyeke ndo wajue utamu wake, wao wanawaza ngono tu ooh wakitoka huko watoto wadogo wanaenda kujaribu, bla blah blah, kumbe maneno ya mkosaji tu!
 
Nasikia wanafundishwa kuwa na mafiga matatu.

Ukiwa na ndoo kichwani akikisha una kidumu mkononi.
 
Kitchen party ya siku hizi ni kutunzana vyombo tu,ndio maana hata wasio olewa navijibinti vidogoo vinaingia tu
Kitchen party sio unyago
Nilienda kitchen party moja hivi karibuni nikakodoa masikio yangu kodo! Nikaishia kusikia milio ya sufuria na glass.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom