Mliofundishwa unyago njooni mtufundishe hapa

Haaaah haaaaah! Mkuu umenipa rahaa saanaaa! Huyo nahisi hata msondo ulimuhusu (unyago wa wasichana wadogo ambao hawajavunja ungo)
Labda asee... Maana mmmh c kwa maufundi manjonjo yale
 
Njoo kwetu tukucheze hata kama u mtu mzima hujawahi kufundwa utafundwa.

Na tunavyopenda mashughuli, usiseme.

Jitayarishe na kama million 5 hivi kwa sasa, kwani kwa uchache itabidi tukuweke ndani siku 40, tutakufunda maujanja yote. Ukitoka hapo kama hujanunuliwa nyumba basi utaambulia japo kiwanja.

Inalipa.
Uislam unaruhusu bi Faiza...
 
Habari wakuu,

Naandika hapa nikiwa na shauku ya kujua mafundisho ya unyago.

Naamini kuwa kuna wanawake wapo hapa JF walibahatika kupata mafunzo hayo.

Jamani tusaidieni na sisi tujue mafunzo hayo ili tuweze pia kudumu kwenye ndoa zetu na kuishi na jamii nzima kwa ujumla.

Kitendo cha wasichana wa siku hizi kukosa mafunzo hayo kimekuwa ni chanzo kikubwa cha ndoa nyingi kuvunjika.

Tusaidieni!

Tafuta kitabu kinachoitwa Kamasutra by Vatsasyana, translated by Richard Burton.

Huo ni unyago wa enzi na enzi wa kihindi.

Kumbuka kuwa mila ya kihindi (hususan wahindu) wanafundishwa kumtii na kumtumikia mwanamme katika maisha yao yote, toka wanazaliwa mpaka wanakufa. Malezi yao yote yana base katika kumtumikiakuabudu mwanamme na kum "manage" mwanamme.

Leo hii usishangae hata ukienda kufanya biashara na mwanamme wa kihindi akisita kufanya "decision" mpaka afanye "consultation" na mkewe. Hiyo yote ina sababu zake na sababu kubwa ni kuwa katika malezi yake mwanamke wa kihindi anafundishwa ni nini biashara na anafundishwa na kuongezewa ujuzi wa nani "genuine" na nani "fake" kwa kutumia natural instincts zilizoboreshwa kwa unyago wao wa kamasutra.

Kwa vijana wa kike na wa kiume aliyechezwa na ambae hajachezwa nnawashauri sana wapende kujisomea.
 
Uislam unaruhusu bi Faiza...

Sijaona Uislam uliokatwa ilm, mradi msitoke kwenye maadili ya Uislam na mfundishane mema.

Uislam umehimiza ilm na unyago ni ilm.

Kuna kufundwa mpaka namna ya kujitoharisha, kuweka udhu, kuswali.
 
Tafuta kitabu kinachoitwa Kamasutra by Vatsasyana, translated by Richard Burton.

Huo ni unyago wa enzi na enzi wa kihindi.

Kumbuka kuwa mila ya kihindi (hususan wahindu) wanafundishwa kumtii na kumtumikia mwanamme katika maisha yao yote, toka wanazaliwa mpaka wanakufa. Malezi yao yote yana base katika kumtumikiakuabudu mwanamme na kum "manage" mwanamme.

Leo hii usishangae hata ukienda kufanya biashara na mwanamme wa kihindi akisita kufanya "decision" mpaka afanye "consultation" na mkewe. Hiyo yote ina sababu zake na sababu kubwa ni kuwa katika malezi yake mwanamke wa kihindi anafundishwa ni nini biashara na anafundishwa na kuongezewa ujuzi wa nani "genuine" na nani "fake" kwa kutumia natural instincts zilizoboreshwa kwa unyago wao wa kamasutra.

Kwa vijana wa kike na wa kiume aliyechezwa na ambae hajachezwa nnawashauri sana wapende kujisomea.
Asante mkuu, nakitafuta
 
Njoo kwetu tukucheze hata kama u mtu mzima hujawahi kufundwa utafundwa.

Na tunavyopenda mashughuli, usiseme.

Jitayarishe na kama million 5 hivi kwa sasa, kwani kwa uchache itabidi tukuweke ndani siku 40, tutakufunda maujanja yote. Ukitoka hapo kama hujanunuliwa nyumba basi utaambulia japo kiwanja.

Inalipa.

Daaaa nimeishia kucheka sana baada ya kusoma hii post ya faiza.
 
Hahahahaaa, jamani nani anawadanganya unyago upo insta sijui watsup? Kuna kuokota mizungu, utaokotaje insta? Kuna kutapishwa, utatapishwaje insta sijui watsup?!! Na vyote hivyo vina maana zake. Mwende kwa wanaotoa hizo huduma km wataweza kuwapika effectively maana nnachojua mimi wana familia yako ndo wahusika cz mambo ni mengi na yanahitaji usimamizi na utulivu wa hali ya juu!!!
 
Ila tusidharau mila zetu jamani kuna vitu mi mwenyewe viliniacha mdomo wazi huko unyagoni mana sikuwahi kuviona wala kuviskia before! Mfano maji ya kunywa kuweza kumtambua binti alie bikra na ambae kashapopolewa na wahuni, mpaka leo nikikumbuka nachoka! Mtu hakuvui chupi wala hajui huko kwa bibi kuna rangi gani lkn maji tu kunywa kashapata majibu bila wasiwasi na wewe mwenyewe ni shahidi kwa utakachokiona, amaizing!!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom