Nuzulati
JF-Expert Member
- Nov 25, 2020
- 9,383
- 34,603
Nilipokuwa nataka kungia Jf nilipoandika Nuzrat liligoma ndipo nilipoandika Nuzulati nikashangaa kitu kikatiki.Dada hilo jina lako kwenye ID ni zuri sana sema unaliharibu tu, ni Nuzrat sio Nuzulati