Mlinzi wa Rais Samia Suluhu ajikwaa, almanasura aanguke

Katika tukio ambalo si la kawaida, mmoja kati ya walinzi wa Rais Samia Suluhu, almanusura adondoke chini mara baada ya kujikwaa, shukrani zimuendee askari wa JWTZ aliyekuwa karibu nae kwa kumdaka asiende chini.

Tukio hilo limetokea wakati Rais Samia Suluhu alipokuwa anaenda uwanjani kuwatunuku degeee maafisa wapya wa jeshi ambao wamepata kamisheni leo.

Heko kwa yule afande wa JWTZ aliyemzuia mlinzi asidondoke kwani isingeleta picha nzuri.
Mambo ya kawaida kujikwaa mkuu!
 
Kawaida tu, Rais wa Dunia, Biden alijikwaa mara tatu wakati anapanda Ndege, sembuse mlinzi wa Rais wa bongo
 
Uzeee walimwambia wewe babu pumzika akakataa

Alianguka mwenyewe kwa hiari yake kwa kutoshirikisha macho yake akipanda kazi

Yule sio askkari

Si unamuona hapa Biden alivyoshindwa kushirikisha macho yake akajikwaa
Sasa li kideo la Biden mnaliweka la huyo mlinzi was Rais wetu tumewaomba mlilete hamtaki la Biden tulishaliona kitambo mno Aisha la bideni no Rais wa huko sijui wapi kule
 
Je mkubwa akianguka au kujikwaa walinzi wake nao watiliwe shaka?

President Robert Mugabe fell down a staircase on Wednesday as he walked off a podium after addressing supporters at Harare International Airport
 
Macho yake hayako sharp abadilishwe.inatakiwa kushirikisha macho kuanzia chini hadi juu.Chukilia ASINGEDAKWA AKAmwangukia Mama Samia naye akaanguka shughuli ingekuwa pevu aondolewe kwenye kundi la ulinzi arudi kikosini.Hafai huyo
Ha ha ha ha nimecheka sana asee. Na wanaofuatia nao wangejikwaa kwa walodondoka mbele hivyo nao wangeanguka!
 
Katika tukio ambalo si la kawaida, mmoja kati ya walinzi wa Rais Samia Suluhu, almanusura adondoke chini mara baada ya kujikwaa, shukrani zimuendee askari wa JWTZ aliyekuwa karibu nae kwa kumdaka asiende chini.

Tukio hilo limetokea wakati Rais Samia Suluhu alipokuwa anaenda uwanjani kuwatunuku degeee maafisa wapya wa jeshi ambao wamepata kamisheni leo.

Heko kwa yule afande wa JWTZ aliyemzuia mlinzi asidondoke kwani isingeleta picha nzuri.
mh biden mbona kaanguka Mara mbili na ya pili alidondoka mpaka chini wakati anapanda air force one, ndege yake, Mh Samia Kama angedongoka si mgesema legacy za BWANA yule zamfuata, so lipi kipya KWA mlinzi tu, bongo BWANA hiyo bahati mbaya na hapakua na sababu ya taarifa,
 
Katika tukio ambalo si la kawaida, mmoja kati ya walinzi wa Rais Samia Suluhu, almanusura adondoke chini mara baada ya kujikwaa, shukrani zimuendee askari wa JWTZ aliyekuwa karibu nae kwa kumdaka asiende chini.

Tukio hilo limetokea wakati Rais Samia Suluhu alipokuwa anaenda uwanjani kuwatunuku degeee maafisa wapya wa jeshi ambao wamepata kamisheni leo.

Heko kwa yule afande wa JWTZ aliyemzuia mlinzi asidondoke kwani isingeleta picha nzuri.
Nilimwambia afunge kamba vizuri hakusikia.
 
Macho yake hayako sharp abadilishwe, inatakiwa kushirikisha macho kuanzia chini hadi juu. Chukilia ASINGEDAKWA AKAmwangukia Mama Samia naye akaanguka shughuli ingekuwa pevu aondolewe kwenye kundi la ulinzi arudi kikosini. Hafai huyo
Nanga
 
Back
Top Bottom