Mlinzi wa Rais Samia Suluhu ajikwaa, almanasura aanguke

Dada hilo jina lako kwenye ID ni zuri sana sema unaliharibu tu, ni Nuzrat sio Nuzulati
Nilipokuwa nataka kungia Jf nilipoandika Nuzrat liligoma ndipo nilipoandika Nuzulati nikashangaa kitu kikatiki.
 
Macho yake hayako sharp abadilishwe, inatakiwa kushirikisha macho kuanzia chini hadi juu. Chukilia ASINGEDAKWA AKAmwangukia Mama Samia naye akaanguka shughuli ingekuwa pevu aondolewe kwenye kundi la ulinzi arudi kikosini. Hafai huyo
Kijana huyu lege-lege alichukuliwa kutoka Uvccm alikua ni green guard.
 
Macho yake hayako sharp abadilishwe, inatakiwa kushirikisha macho kuanzia chini hadi juu. Chukilia ASINGEDAKWA AKAmwangukia Mama Samia naye akaanguka shughuli ingekuwa pevu aondolewe kwenye kundi la ulinzi arudi kikosini. Hafai huyo

HIVI HAWA HUWA WANAPIMWA AFYA ZAO? ISIJE IKAWA WATU WAGONJWA NDIO MNAWAPANGA KUMLINDA RAIS!! MARA YA MWISHO KUPATA FULL MEDICAL CHECK UP NI LINI? IKIWEMO CORONA?
 
Wivu tuuuu!!
Una roho mbaya kama ya mwendazake, umenikumbusha alivyomtemesha mzigo bwa Francis kwa kushikwa kigugumizi siku ya kuapa! Yaani wewe unaona hili tukio la mara moja tu tayari umefikia hitimisho kwamba hafai?
Kitendo cha Francis kutemwa kiliumiza sana
 
Katika tukio ambalo si la kawaida, mmoja kati ya walinzi wa Rais Samia Suluhu, almanusura adondoke chini mara baada ya kujikwaa, shukrani zimuendee askari wa JWTZ aliyekuwa karibu nae kwa kumdaka asiende chini.

Tukio hilo limetokea wakati Rais Samia Suluhu alipokuwa anaenda uwanjani kuwatunuku degeee maafisa wapya wa jeshi ambao wamepata kamisheni leo.

Heko kwa yule afande wa JWTZ aliyemzuia mlinzi asidondoke kwani isingeleta picha nzuri.
Ajali kazini..ajali haina kinga..!! Heko kwa mwokozi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom