Mlinzi wa Rais Samia Suluhu ajikwaa, almanasura aanguke

Uzeee walimwambia wewe babu pumzika akakataa

Alianguka mwenyewe kwa hiari yake kwa kutoshirikisha macho yake akipanda kazi

Yule sio askkari

Si unamuona hapa Biden alivyoshindwa kushirikisha macho yake akajikwaa
Kaanguka mara 3 ndani ya sekunde 5 tu so funny lakini..
 
Hivi kulikuwa na sababu gani hii sherehe kuanza saa tisa mchana wakati wa juakali, hawakujua kuwa mkuu yuko kwenye mfungo wa ramadhani na muda ule swaumu itakuwa imemkaba! kuna muda nilimwona anahemea juu juu nikaona kama anataka kukata mawasiliano
 
Hatamie namwona kwa kweli anaweza badili nguo mara tatu kwa siku, yaani kila tukio na nguo nyingine, hongera sana, naona dresser wake yuko makini sana,
Na mwenyewe anajijulia, maza wa kishua..anajisitiri lkn bado anaenda na fashion.
 
Sio yeye tu na mwingine mkubwa ametaka kujikwaa nyuma yake.

Nusura tunge shuhudia ya Joe leo. Ila yule mjeda kaonesha utimamu wa kutisha kamdaka na huku akiwa bado makini na jukumu lake la msingi. Wataalam wa haya masuala wamepata kitu/ food for the thought cha kutafakarisha hapo.
 
Hivi kulikuwa na sababu gani hii sherehe kuanza saa tisa mchana wakati wa juakali, hawakujua kuwa mkuu yuko kwenye mfungo wa ramadhani na muda ule swaumu itakuwa imemkaba! kuna muda nilimwona anahemea juu juu nikaona kama anataka kukata mawasiliano
hahahaa
 
George Bush aliwahi kukwepa kiatu cha mwandishi wa habari mbona hakuondolewa Urais wa Marekani wala walinzi wake kufukuzwa kazi
Hii ni Ramli chonganishi tu
 
Back
Top Bottom