Mlinzi wa Rais Samia Suluhu ajikwaa, almanasura aanguke

UmkhontoweSizwe

JF-Expert Member
Dec 19, 2008
4,827
2,000
Katika tukio ambalo si la kawaida, mmoja kati ya walinzi wa Rais Samia Suluhu, almanusura adondoke chini mara baada ya kujikwaa, shukrani zimuendee askari wa JWTZ aliyekuwa karibu nae kwa kumdaka asiende chini.

Tukio hilo limetokea wakati Rais Samia Suluhu alipokuwa anaenda uwanjani kuwatunuku degeee maafisa wapya wa jeshi ambao wamepata kamisheni leo.

Heko kwa yule afande wa JWTZ aliyemzuia mlinzi asidondoke kwani isingeleta picha nzuri.
Hata Rais Joe Biden alijikwaa na kutaka kudondoka kwenye ngazi za ndege, kwa hiyo siyo ajabu kwa binadamu kujikwaa!
 
Manjagata

JF-Expert Member
Mar 7, 2012
7,732
2,000
Macho yake hayako sharp abadilishwe, inatakiwa kushirikisha macho kuanzia chini hadi juu. Chukilia ASINGEDAKWA AKAmwangukia Mama Samia naye akaanguka shughuli ingekuwa pevu aondolewe kwenye kundi la ulinzi arudi kikosini. Hafai huyo
Wivu tuuuu!!
Una roho mbaya kama ya mwendazake, umenikumbusha alivyomtemesha mzigo bwa Francis kwa kushikwa kigugumizi siku ya kuapa! Yaani wewe unaona hili tukio la mara moja tu tayari umefikia hitimisho kwamba hafai?
 
Idugunde

JF-Expert Member
May 21, 2020
3,667
2,000
Katika tukio ambalo si la kawaida, mmoja kati ya walinzi wa Rais Samia Suluhu, almanusura adondoke chini mara baada ya kujikwaa, shukrani zimuendee askari wa JWTZ aliyekuwa karibu nae kwa kumdaka asiende chini.

Tukio hilo limetokea wakati Rais Samia Suluhu alipokuwa anaenda uwanjani kuwatunuku degeee maafisa wapya wa jeshi ambao wamepata kamisheni leo.

Heko kwa yule afande wa JWTZ aliyemzuia mlinzi asidondoke kwani isingeleta picha nzuri.
No evidence
 
Kaburiwazi

JF-Expert Member
Jan 1, 2019
266
250

Baden tuliona video yake.. Huyu vipi? Tuwekee video yake
 
airwing

JF-Expert Member
Dec 8, 2017
218
500
Macho yake hayako sharp abadilishwe, inatakiwa kushirikisha macho kuanzia chini hadi juu. Chukilia ASINGEDAKWA AKAmwangukia Mama Samia naye akaanguka shughuli ingekuwa pevu aondolewe kwenye kundi la ulinzi arudi kikosini. Hafai huyo
Ata Kama angeanguka hasingemwangukia Kama unavyotoa maelezo wewe, Nilikuwa nafuatilia live kwenye Tv Ni kawaida, Kaanguka raisi wa Marekani Mara 3, Sembuse huyo kujikwaa..
By the way haukupaswa mjadala wa kujadili like yako mengi na ya muhimu.. Mods futeni huu Uzi wa kipumbavu...
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom