Mlinzi wa Rais Kagame jela maisha

Mlinzi wa Rais Kagame jela maisha

Huyo mlinzi wa PK yeye alikua ameshakimbilia Uganda baada ya hilo soo kutokea na akawa anaishi huko,ila vijana wa PK walimteka kutoka Uganda kibabe na kumrudisha Kigali kwny mashtaka hayo.

Huyo mkuu wa Majeshi yeye alitorokea Uganda then Serikali ya M7 ikamsaidia kukimbilia huko kwa madiba,PK na kundi lake la magaidi walimaindi kinyamaaa.
Kwamba museven bado ana hayua kadhaa mbele ya PK akiamua au sio??
 
Hahah dunia nzima inajua anaishi S/Africa na amepewa ulinzi maalumu na serikali ya huko maana walishamkosa kosa mara 2 kumuua.

Ingawa pia anapiga misele sana kwenda Uganda,Congo(East) na baadhi ya nchi za ulaya akitafuta uungwaji mkono/fedha ili aimarishe kundi lake la RNC.
Yeah.Jamaa kama sio serikal ya south nae angekua amekata moto.Sema jamaa inaonekana ana ushawish sana maana kama Karegeya tu walimpata south pale pale kwann huyu wanamkosa.??serikal ya south ikimtema tu huyu kwisha habar yake
 
Aisee siku serikali ikimtema ameisha fasta tu,lazima awe na ushawishi maana mkuu wa majeshi mstaafu anajua mambo mengi na wanamtumia ipasavyo kwny inshu zao kila wapomhitaji.
 
Aisee siku serikali ikimtema ameisha fasta tu,lazima awe na ushawishi maana mkuu wa majeshi mstaafu anajua mambo mengi na wanamtumia ipasavyo kwny inshu zao kila wapomhitaji.
Hakika.iy means jamaa nae apige hesab kwa kil sana na achange karata zake vizur ili kipind wanamtumia ahakikishe na harakat zake zinasogea kwa kasi otherwise wakimaliza kum utilize na hajamaliza mission yake watam damp na atakosa ushawish then kirahis tu anazimwa
 
Upumbavu? Waulize wa Swiden kwa nini hivi sasa waziri wao mkuu analindwa ile kishenzi?

Walikuwa wana jidai sana siku za nyuma kuwa viongozi wao wa serikali walikuwa wanatembea mitaani kama raia wa kawaida.
Hawa wetu wamezidi bwana. Yaani ukikosolewa ndo ufunge watu? Rais ni nani hadi asikosolewe?
.
.
Hilo la PK katiba yao inaeleza wazi hukumu ya Uhaini. But kwa cases zingine kama alivyomfanyia yule Dada/Mama.. Hapana.
 
Hakika.iy means jamaa nae apige hesab kwa kil sana na achange karata zake vizur ili kipind wanamtumia ahakikishe na harakat zake zinasogea kwa kasi otherwise wakimaliza kum utilize na hajamaliza mission yake watam damp na atakosa ushawish then kirahis tu anazimwa
Nadhani na ye anajua hilo ndio maana anahangaika na RNC yake ingawa naona kila siku wapiganaji wake kuanzia level ya chini mpk senior level wanauwawa huko Congo wengine wanakamatwa wanapelekwa Rwanda.

Wenzake jeshini RDF hawakuwahi kumkubali sana kwny medani,ngoja tuone shughuli pevu ya hilo kundi lake.
 
Hahah dunia nzima inajua anaishi S/Africa na amepewa ulinzi maalumu na serikali ya huko maana walishamkosa kosa mara 2 kumuua.

Ingawa pia anapiga misele sana kwenda Uganda,Congo(East) na baadhi ya nchi za ulaya akitafuta uungwaji mkono/fedha ili aimarishe kundi lake la RNC.
RNC haina tofauti saaana na fdlr wote wachovu tu

Hao wasubiri tu PK akikosea hesabu za kuchagua mrithi wake au Burundi iingie vitani na rwanda
 
Burundi hii hii ambayo wanajeshi wake waliondolewa kule kwny jeshi la umoja wa mataifa sababu wana vifaa/silaha duni?
RNC haina tofauti saaana na fdlr wote wachovu tu

Hao wasubiri tu PK akikosea hesabu za kuchagua mrithi wake au Burundi iingie vitani na rwanda
 
Kazi mbaya sana ni ile unalinda afu unafatiliwa na anayekufatilia na yeye anafatiliwa.

Mkuu wa Majeshi anajua kuna watu wake wa karibu wanamfatilia kila kitu wanapeleka kwa Mteuaji.
 
Burundi hii hii ambayo wanajeshi wake waliondolewa kule kwny jeshi la umoja wa mataifa sababu wana vifaa/silaha duni?
Uwezo wa kijeshi wa rwanda hautofautiani saana na burundi japo Burundi hawana dira wapowapo tu

Bt trust me rdf wakijichanganya kwa Burundi watashinda japo kwa mbinde na ndio utakuwa mwisho wa PK na royal family yake
 
NOVEMBA 23, 2019

Mahakama ya rufaa mjini Kigali imethibitisha hukumu ya kifungo cha maisha jela dhidi ya Luteni Joel Mutabazi ambaye alikuwa mlinzi wa karibu wa Rais wa Rwanda Paul Kagame.

Hatua hii imechukuliwa baada ya bwana Mutabazi kukata rufaa kupinga hukumu hiyo aliyopewa mwaka 2014 baada ya kupatikana na hatia ya kutaka kuangusha serikali na kutaka kumuua Rais Kagame.

Baada ya mahakama ya rufaa kuyachambua mashtaka hayo jinsi yalivyo kulingana na faili la mashtaka la kila mtu, imeamua kutoa hukumu ya kifungo cha maisha jela kama ilivyotolewa mahakama kuu ya kijeshi dhidi ya Joel Mutabazi mwaka 2014.

Mahakama imesema kwamba kuna ushahidi wa kutosha wa kuhusika kwake kwa makosa makubwa ya kuhatarisha usalama wa taifa.

Kwa kuwa bwana Mutabazi alikuwa akitakaa kuiangusha serikali na alifanya ugaidi kwa kushirikiana na makundi ya waasi ambayo ni pamoja na RNC (Rwanda National Congres) linaloiongozwa na mkuu wa zamani wa majeshi ya Rwanda Jenerali Kayumba Nyamwasa na kundi la FDLR.

Lakini kikubwa zaidi ni kutaka kumuua rais Paul Kagame ili kufuta ushahidi, kwamba ,Luteni Joel Mutabazi alisuka njama ya kulipua boti la Rais katika ziwa Muhazi karibu na makazi ya Rais Kagame.

Joel Mutabazi alikuwa mlinzi wa karibu sana wa rais Kagame akihusika na makazi ya rais yaliyoko katika ziwa Muhazi mashariki mwa Rwanda.
 
Back
Top Bottom