Prem 96
JF-Expert Member
- Jul 19, 2019
- 607
- 1,974
Ila niwe mkweli tu kayumba ni jeneral wa hovyo zaidi kuwai kutokea Africa
Teh teh,haya.
Teh teh,haya.
Kwanini umeweka avatar ya wanaume wakinyonyana ndimi? Wewe ni shoga au?Alipanga njama gani?
Nitumie namba yako ya whatsapp nikueleweshe inaonekana wewe ni mgeni humuAlipanga njama gani?
Alafu hana jirani mwema,yeye kila jirani mbaya kwake,Ndio sababu Kagame haishi ku EDIT katiba ili aendelee kuongoza maisha yake yote. Ni kama Museveni tu.
Acha kiherehere
Pia kanyoka msituni akuwezi tenaAlafu hana jirani mwema,yeye kila jirani mbaya kwake,
Anavyofanya siku pakinuka patanuka mazima,
na alivyo mrefu sijui atajificha wapi wasimuone,
Rwanda,ni Mali yake binafsi aliyoikomboa kwa damu ataishi milele kama mugabe atokufaKagame atakua na mwisho mbaya sana,
anaminya demokrasi,hakuna uhuru wa kujieleza,hakuna kama yeye,hakosei na wala hakubali kukosolewa,
Yeye ndo mungu wa rwanda
Atajuta kuachwa hai!Nashangaa Kagame na tabia yake ya kisasi hajamuua kabisa.
Na ya Rwanda upoMsaliti malipo yake yanajulikana
Magoo-fool ndyo huwa ana mtazama huyo jinga kama mwlm wake!Kagame atakua na mwisho mbaya sana,
anaminya demokrasi,hakuna uhuru wa kujieleza,hakuna kama yeye,hakosei na wala hakubali kukosolewa,
Yeye ndo mungu wa rwanda
Mapinduzi yanapangwa kwa sababu nchi haina mfumo huru wa siasa.Atajuta kuachwa hai!
Ataondoka kwa mateso na kifo cha pole pole....