Mlinzi wa Rais Kagame jela maisha

state agent

JF-Expert Member
Jul 1, 2019
1,764
2,511
Mahakama ya ngazi ya juu mjini Kigali imetupilia mbali rufani dhidi ya Lt Joel Mutabuzi na atafungwa maisha ambapo ndio kifungo kikuu kupita vyote nchini Rwanda.

Luteni Mutabuzi alikata rufaa kupinga hukumu hiyo ambapo yeye na wenzake 7 walihukumiwa maisha jela, alikuwa mtu wa karibu sana na familia ya Kagame na alilinda sana ikulu ya Kagame.

Luteni Mutabazi alipanga njama akiwa chini ya Mkuu wa Majeshi aliyekimbia nchi hiyo na bado anatafutwa Gen Kayumba Nyamaswa.

Chanzo: BBC Swahili

State agent
 
Pk kabadili mbinu za kudeal nao nini? Au uzee unamnyemelea?

Turud kwenye mada inasikitisha kutoka mnyweshaji mkuu wa mfalme hadi gerezani. Rejea ya yusufu rejea ya nehemia kama sio Hezekiah kwenye Bible huko
GENTAMYCINE mzee wa hapo gisenyi unalolote la kuchangia hapa kwa yaliyo wakuta wenzako wa huko?
Tulabhibhuka imirimo yanyu.

Mmoja wapo hapo yupo kwemye majuto makuu halafu huyo mlinzi yeye haoneshi kuumia sana
 
Ila jamaa hakuwapa plan B wenzake aliponusa harufu ya kugundulika akapotelea nje ya nchi. Japo naamini hakutoka hivihivi kulikua na msaada wa kumtorosha tu
images (4).jpeg
 
Ila jamaa hakuwapa plan B wenzake aliponusa harufu ya kugundulika akapotelea nje ya nchi. Japo naamini hakutoka hivihivi kulikua na msaada wa kumtorosha tu
View attachment 1269534
Huyo mlinzi wa PK yeye alikua ameshakimbilia Uganda baada ya hilo soo kutokea na akawa anaishi huko,ila vijana wa PK walimteka kutoka Uganda kibabe na kumrudisha Kigali kwny mashtaka hayo.

Huyo mkuu wa Majeshi yeye alitorokea Uganda then Serikali ya M7 ikamsaidia kukimbilia huko kwa madiba,PK na kundi lake la magaidi walimaindi kinyamaaa.
 
Kumbe. Sasa hao nao unakimbilia sehemu ambapo unajua kabisa ni kama bado upo Rwanda hata huyo wa kwa madiba sidhani kama yupo salama sana
 
Kumbe. Sasa hao nao unakimbilia sehemu ambapo unajua kabisa ni kama bado upo Rwanda hata huyo wa kwa madiba sidhani kama yupo salama sana
Hapo hua wana kosea big time mzee,bora kukimbilia kule kwa mabeberu atleast hakuingiliki kizembe zembe.
 
Hahah dunia nzima inajua anaishi S/Africa na amepewa ulinzi maalumu na serikali ya huko maana walishamkosa kosa mara 2 kumuua.

Ingawa pia anapiga misele sana kwenda Uganda,Congo(East) na baadhi ya nchi za ulaya akitafuta uungwaji mkono/fedha ili aimarishe kundi lake la RNC.
Kama hadi Mng'ato anajua yupo kwa Madiba.. hakika hayupo salama. Japo yawezekana alishaondoka huko pia.
 
Hahah dunia nzima inajua anaishi S/Africa na amepewa ulinzi maalumu na serikali ya huko maana walishamkosa kosa mara 2 kumuua.

Ingawa pia anapiga misele sana kwenda Uganda,Congo(East) na baadhi ya nchi za ulaya akitafuta uungwaji mkono/fedha ili aimarishe kundi lake la RNC.
Hapa nimeelewa. Kumbe anaendeleza harakati bado
 
Hivi Raisi unamwogopaje mtu wa kawaida wakati unalindwa na majeshi yote na Wananchi wengi ?
Hadi unaridhia adhabu za kifo na kifungo kikali kwa mtu anaye kupinga au kukukosoa tu ?
Watu wanamkosoa Hadi Mungu sembuse mtu.

Huu Ni Upumbavu.
 
Upumbavu? Waulize wa Swiden kwa nini hivi sasa waziri wao mkuu analindwa ile kishenzi?

Walikuwa wana jidai sana siku za nyuma kuwa viongozi wao wa serikali walikuwa wanatembea mitaani kama raia wa kawaida.
 
Back
Top Bottom