Auz
JF-Expert Member
- Apr 6, 2016
- 13,842
- 11,784
Mnong'oneze na wa kwenu! Umesuuzika rohoni, akilini ukitamani na yeye afanye hivi.Msaliti malipo yake yanajulikana
Role model wenu, karibu na nyinyi mtaiga.
Mnong'oneze na wa kwenu! Umesuuzika rohoni, akilini ukitamani na yeye afanye hivi.Msaliti malipo yake yanajulikana
Hayuko salama, huyu atauliwa gerezani huko kuficha ushahidiNashangaa Kagame na tabia yake ya kisasi hajamuua kabisa.
Mpumbavu ni wewe ambaye unaingilia mambo ambayo hayakuhusu,na kuongelea vitu ambavyo hauvijui. Kabla hauja copy na ku paste taarifa ambayo hujui bora ungeandika ya Tundulisu, kambendera, sanane na wengine wengi ndio una taarifa nao.ya nchi nyingine funga mdomo.Hivi Raisi unamwogopaje mtu wa kawaida wakati unalindwa na majeshi yote na Wananchi wengi ?
Hadi unaridhia adhabu za kifo na kifungo kikali kwa mtu anaye kupinga au kukukosoa tu ?
Watu wanamkosoa Hadi Mungu sembuse mtu.
Huu Ni Upumbavu.
Nyie mnashabikia vitu ambavyo hamvijui issue zote kuanzia Uganda,hao wote wanatumiwa na Uganda myaka mingi ila uganda ilishindwa. Alfu uganda ina jealous! Rwanda inavyo piga hatua kuipita haraka.sasa uganda ikiwatumia wa pumba kuivuruga inchi yao wanagundulika haraka na kuchukuliwa hatua.wakiweza kutoroka njia ni uganda na kupata hifathi huko, sasa M7 ana wa support hayo makundi ili wa destabilize Rwanda.ila hawajamujua PK kua kawazidi mindset ,uchafu wote unaofanyikia Kampala unagundulika kabla na wahasi wa Kayumba na support yake kutoka uganda wanazidi kutuguliwa huko Congo. Ila M7 Ita most sana maana corrupted country haiwezi shindana na organised country ata siku moja.Hapa nimeelewa. Kumbe anaendeleza harakati bado
Hongera boss unamjua PK vema kuliko M7.Nyie mnashabikia vitu ambavyo hamvijui issue zote kuanzia Uganda,hao wote wanatumiwa na Uganda myaka mingi ila uganda ilishindwa. Alfu uganda ina jealous! Rwanda inavyo piga hatua kuipita haraka.sasa uganda ikiwatumia wa pumba kuivuruga inchi yao wanagundulika haraka na kuchukuliwa hatua.wakiweza kutoroka njia ni uganda na kupata hifathi huko, sasa M7 ana wa support hayo makundi ili wa destabilize Rwanda.ila hawajamujua PK kua kawazidi mindset ,uchafu wote unaofanyikia Kampala unagundulika kabla na wahasi wa Kayumba na support yake kutoka uganda wanazidi kutuguliwa huko Congo. Ila M7 Ita most sana maana corrupted country haiwezi shindana na organised country ata siku moja.