Kuna taarifa ya BBC asubuhi hii wameripoti kuwa Mlinzi wa Museven ameua watu 7 bar na baadae kujiua..kamimina bullet za nguvu kadhaa na watu wengi wamejeruhiwa. inasemekana aliibiwa simu na other items...na Changudoa. Ndipo alipokwenda Kambini kuchukua silaha na kuvaa nguo za jeshi na kuja kufanya shambulizi la aina yake...
Wadau mnasemaje...Museven kaomba radhi na kaahidi fidia kwa waliojeruhiwa...ila mmhh?
Wadau mnasemaje...Museven kaomba radhi na kaahidi fidia kwa waliojeruhiwa...ila mmhh?