ila pia ipo siku yatawatokea...(hii engineering mnayofanya)..kwa hiyo ina maana hao wauaji always huwa ni learners ...huwez niambia nyumba ina gate watu trained kuua wanakuja wote wanaingia ndani direct....na kama walikuwa nje wakampiga mbwa risasi ..ss mheshimiwa na wife walipita wapi mpk kufanikiwa kutoroka....vitu vingine ni vya kufikirisha sana....siasa siku hizi kila mtu anatishiwa kuuawa tu...... kama ni kweli tumefikia pabaya lkn kama ni issue za kutengeneza for popularity tunajipeleka pabaya (haya matukio yatazoeleka ...watu watatenda kweli)
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.