Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 54,722
- 102,513
Ewe mtu, nami nakupeleka mbali zaidi.Je kama walikuwa wanafanya vitisho (intimidations with purposes) ikiwa ni hatua fulani ili kufikia azma iliyokusudiwa? Hata wakoloni (kama ambavyo idara ya polisi Tanzania hufanya) walipita mitaani kufanya mazoezi ya kijeshi ili kuwatisha raia wabishi na waso wabishi/wakinzani.ila pia ipo siku yatawatokea...(hii engineering mnayofanya)..kwa hiyo ina maana hao wauaji always huwa ni learners ...huwez niambia nyumba ina gate watu trained kuua wanakuja wote wanaingia ndani direct....na kama walikuwa nje wakampiga mbwa risasi ..ss mheshimiwa na wife walipita wapi mpk kufanikiwa kutoroka....vitu vingine ni vya kufikirisha sana....siasa siku hizi kila mtu anatishiwa kuuawa tu...... kama ni kweli tumefikia pabaya lkn kama ni issue za kutengeneza for popularity tunajipeleka pabaya (haya matukio yatazoeleka ...watu watatenda kweli)