jogi
JF-Expert Member
- Sep 25, 2010
- 25,556
- 25,371
Kabla ya vita vya kagera kulipita operation ya kuua mbwa kwa kisingizio cha ugonjwa wa kichaa.Ipo siku yatawarudia hayaView attachment 642443karma is bitch....
Naishia hapo.
Kabla ya vita vya kagera kulipita operation ya kuua mbwa kwa kisingizio cha ugonjwa wa kichaa.Ipo siku yatawarudia hayaView attachment 642443karma is bitch....
Poleni sana mkuuTumezika leo!
ila pia ipo siku yatawatokea...(hii engineering mnayofanya)..kwa hiyo ina maana hao wauaji always huwa ni learners ...huwez niambia nyumba ina gate watu trained kuua wanakuja wote wanaingia ndani direct....na kama walikuwa nje wakampiga mbwa risasi ..ss mheshimiwa na wife walipita wapi mpk kufanikiwa kutoroka....vitu vingine ni vya kufikirisha sana....siasa siku hizi kila mtu anatishiwa kuuawa tu...... kama ni kweli tumefikia pabaya lkn kama ni issue za kutengeneza for popularity tunajipeleka pabaya (haya matukio yatazoeleka ...watu watatenda kweli)
Ila msiban sijakuona mkuuTumezika leo!
Usihukumu, utahukumiwa!..Mungu amekusamehe
CCM wanauwa kuanzia watu hadi mbwa.
Actions of mongers n squirrels.... Cowards with dull minds but full of uncountable hatred... The cursed... [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35]Shughuli za dikteta uchwara mwenye chuki za kutisha, visasi, na roho mbaya. Baada ya kuona hana hoja wala sera sasa kaamua mbele kwa mbele na mtutu wa bunduki.