M muta ngegi Senior Member Joined Sep 7, 2016 Posts 193 Reaction score 164 Saturday at 3:20 AM #1 Salaam wanajamii forum! Nilipanda mti huu wa mlimao(Tazameni Pichani),lakini tangu nimeupanda haukui sana na upo katika hali hii(Pichani). Wataalam naombeni kujua shida yake ni nini? Attachments IMG_20260831_084212_035.jpg 951.7 KB · Views: 4
Salaam wanajamii forum! Nilipanda mti huu wa mlimao(Tazameni Pichani),lakini tangu nimeupanda haukui sana na upo katika hali hii(Pichani). Wataalam naombeni kujua shida yake ni nini?
C CRYPT JF-Expert Member Joined Jan 26, 2014 Posts 392 Reaction score 838 Saturday at 7:54 PM #2 Mkuu wakati tukiwasubiri wataalam waje nikuulize yafuatayo, umeupanda mwaka gani? Unaupa huduma zipi? Mche umewahi kukumbwa majanga kama moto nk? maana kwa kuangalia haraka haraka naona mlimao uliokosa matunzo.
Mkuu wakati tukiwasubiri wataalam waje nikuulize yafuatayo, umeupanda mwaka gani? Unaupa huduma zipi? Mche umewahi kukumbwa majanga kama moto nk? maana kwa kuangalia haraka haraka naona mlimao uliokosa matunzo.