kwani lazima useme ulikua unaenda mahenge kufanya nini? hizo ndo sifa zenyewe. unalala na makaratasi kudadadensa
Mlima inayotisha Tanzania ni pamoja na kitonga one and two, lushoto, chamanyan Morogoro, na mwingine upo muleba, hii ya senkenge sikuhizi cha mtoto kwasababu ilihamishwa toka senkenge ya kwanza.
Kona za mlima wa nyang'olo kitonga ikasome
Kona za mlima wa nyang'olo kitonga ikasome
Kwangu siyo shida hiyo, umeshapata....omba jingine?!
Hapo sasa mie ntashiriki ktk uhalifu na kosa la jinai!!! Lakini ntakuletea mbadala....... Suprise (imported)!!Kingine, niletee kibastora kuna mtu ananikera sana, nataka nimtulize.
Hapo sasa mie ntashiriki ktk uhalifu na kosa la jinai!!! Lakini ntakuletea mbadala....... Suprise (imported)!!