tatizo lako mmezoea safari za hapa hapa bongo, mbagala mwenge, mwenge to gongo la mboto, sasa hii mlima utaijulia wapi? nenda nje ya mkoa uone milima mkuu
Mlima ndororo? (Nthororo) ???
Ule mlima unatisha sana,sijui kama siku hizi washaweka lami au bado
Mkuu lami ipo sema ndo kama ulimi tu haitadumu
Pale Kitonga madereva huwa wanaendesha kwa adabu ndo maana ajali haziwi nyingi, ila ule mlima ni balaa pamoja na kupita maranyingi still siuzoei, Sekenke wa kawaida tu tena sahivi walivyotengeneza ndo pamekuwa hata hapatishi, kuhusu ajali sijui ni kwanini zinatokea sana hapo
Elimu yako Mkuu??? yaani umevuruga mada yote
Waliotengeneza barabara ile ya Kitonga ni vidume kweli, ingekuwa ni enzi hizi za Ari mpya wasingeweza, ona hatq vidaraja vya Jangwani vinawashinda...Mwalimu Nyerere upumzike kwa Amani!
Sekenke ilikuwa huovertake mkuu na wala hampishani wa chini anamsubiri wa juu ashuke yeye ndio aanze safari tena kama ni bus abiria mshuke driver anawasubiri halafu yeye ndio aje taratibu
Kweli Singapore hawana ushuru hivyo vitu vinakuwa rahisi.... omba nikuletee nini?!!
Asante sana mkuu huo huo
basi mkandarasi alifanya kaz kubwa sana kama ni hvyo
Aisee,tulipitaga mwaka 2008 tunaenda kwenye auditing pale mahenge,we wacha mzee.wakatati huo lami bado
mlima wa shangaz yako ndo unatisha kwa mjomba ako
Kwangu siyo shida hiyo, umeshapata....omba jingine?!Tobaaaaaaaa!! kwa hiyo biashara ya mkaa na kuni niache au, usiniletee boti yakidhungu sana, niletee itakayomudu kupandisha hadi kuku.