Mlima Kilimanjaro ni mzuri sana

Mlima Kilimanjaro ni mzuri sana

Screenshot_20260306-234606~2.jpg
 
Kwa nini, kisa nimeukubali Mlima Kilimanjaro au?
Mbeya hakuna Mlima kama huu, af napenda sana kuangalia milima kwa hiyo ninaappreciate Mlima Kilimanjaro
Mbeya tunao huu, ambao nao naukubali pia. Napenda sana milima
View attachment 3683134
Mkuu, nenda kapige picha kwenye kona za mikoa pale kawetere allo....🤣
 
Back
Top Bottom