Mlima Kilimanjaro haujaheshimika kutowekwa kama nembo kwenye noti ya elfu10

Wadiz

JF-Expert Member
Nov 10, 2022
5,411
11,061
Hello hello,

Mlima(Mt.)Kilimanjaro the pride of Tanzania.

Ebu ifike pahala kama taifa tuwe serious kwenye fikra na dhamira mbali mbali katika uendeshaji na mipango ya nchi, tutafakari tu, hivi upekee wa Tanzania katika utambulisho wa nembo za rasilimali kuu za taifa kwenye pesa zetu hasa noti yenye thamani kubwa katika hali isiyotarajiwa kwa nini hawa waliokasimiwa jukumu hawakuweka Mlima Kilimanjaro kwenye noti ya elfu10.

Malaika wa kipekee wamenishukia mida hii nimewaza nikaona hilo la mlima Kilimanjaro kutoheshimika kama nembo muhimu ya taifa.

Wahusika ebu watafakari hilo, tembo yupo kila mahali, Mlima ni upekee usio na ubishi kwa Tanzania.

Wadiz na malaika wake kwa leo
Wasalaam.
 
Ichapishwe noti ya shilingi 20000/= ili mlima Kilimanjaro uwekwe
 
Ifike mahali watu wote wajinga wajinga wawe wanakamatwa alafu watengenezewe mkoa wao maalumu na wilaya zao, alafu wapigwe marufuku kuingia kwenye mikoa mingine. Na huo mkoa wao kusiwekwe mtandao wala shule ila kuwe na hospitali tu ya kuyatibu yakiumwa.
Mi nafikiri ni vizuri jengo la Mirembe liwekwe kwenye MOTi hiyo ya elfu10. Kuonyesha nchi ilivyo na wagonjwa wa akili wengi.
2023 vichaa wanazidi kuongezeka... serikali ina kazi kubwa sana ya kukabiliana na magonjwa ya afya ya akili kwa raia wake

NB:
Nembo ya rasilimali ya taifa...
 
Ifike mahali watu wote wajinga wajinga wawe wanakamatwa alafu watengenezewe mkoa wao maalumu na wilaya zao, alafu wapigwe marufuku kuingia kwenye mikoa mingine. Na huo mkoa wao kusiwekwe mtandao wala shule ila kuwe na hospitali tu ya kuyatibu yakiumwa.
Si ndo tumewekwa Tanzania mkuu ? Unataka tutengwaje yaani
 
Mkuu wa nchi ni nembo na tunu ya taifa pia kuliko hata huo Mlima Kilimanjaro. Sijui kwanini utaratibu ule ulifutwa.
 
Mi nafikiri ni vizuri jengo la Mirembe liwekwe kwenye MOTi hiyo ya elfu10. Kuonyesha nchi ilivyo na wagonjwa wa akili wengi.

Uwanze wewe na kizazi chako milele yote!
Ugoigoi mnayo nyinyi usituambukize watanzania wengine! KOMA
 
Back
Top Bottom