Mlevi, mzee wa kupiga hesabu baada ya matumizi

Tatizo langu si bia ya 3000 kumbuka ukiwa mlevi wa style yangu hatakama ukiwa unakunywa bia ya buku bado utazua, tatizo hapa ni matumizi yasiyo kwenye bajeti nikilewa nakuwa na huruma sana na kupenda sifa za kijinga. Sio kwamba kila nikienda kulewa naenda na hela zote hizo hiyo hutokea mara chache account ikiwa vizuri kuna wakati naenda kunywa na 30 tu ikiisha narudi home. Pia elewa hata ukitumia hela ndogo bila bajeti ni ufujaji tu tunatakiwa kutumia hela kulingana na kipato chetu na vipaumbele vyetu vitu vya msingi kwanza then starehe kwa hela ya ziada.
Nasikia ukilewa ndio unaonesha tabia yako halisi 😂😂
 
Mkuu,Asante.

Juzi Jamaa angu ananipigia simu ucku ananiuliza hivi Jamaa Juzi Nilimaliza laki TANO kweli?Namwambia kivipi?Ananiambia nilipokuita nilikuwa na 500k Mfukoni.Nikacheka nikamwambia acha kupiga mahesabu baada ya kutumia,Chakula na pombe havitafanya kazi.Piga hesabu kabla.Any way Wengi tumefikia kwenye hio level ila Namshukuru Mungu kwamba kwa sasa nimefikia hatua nzuri.Kwanza sitembei na zaidi ya 50k to 100k pili sitoi ofa ya bia kwa demu bila masimamngo kidogo.Nina neno langu la kishenzi(Unataka Ofa utaweza kulipia au unajitia uroho tu hakuna cha bure mjini Bajeti" Shida ni hiz Pisi kali huwa zinafuta network zote kuanzi 1G mpaka 5G unabaki kusema tu OK.Ila tutafika tu.

PS

Hongera kwa kuweza kumudu control,wengi wamekwa na mbaya zaidi PESA ZA MAWAZO

 
Yaaan sisi walevi tuna mateso na raha zinazo fanana. Mahesabu ya asubuh hua yanaumiza sana roho. Ukipanga kutoka na pesa kidogo gambe likinoga unavuta pesa kwa cm. Ukipanga kutoka pekeako ili usitumie pesa nyingi unakutana na washikaj from nowhere au unawaita mwenyew. Ukiwa na hela hutak kutoka home usiku usingiz hauji unajikuta unajiambia ngoja nikanywe bia 3 nirudi kulala unajikuta umekesha hukohuko...
All in all pombe zina chuma ulete maana zile hesabu za asubuh hazijawahi ku balance 😂
 
Mungu ni mwema aise
FB_IMG_1622728666313.jpg
 
Leo nimeamua nijilipue maana nimevurugwa sana...
Pombe hizi!!
IMG_20210628_195433_770.jpg
 
Mleta mada umeandika ukweli mtupu,hii inatutokea wengi sana mpaka saingine nahisi sjui nimelogwa!!! Unakuta umetoka na bajeti ya maybe laki pombe zikikolea unaenda Atm kuchomoa mpunga ..asubh ndo kukikucha pombe zimeisha kichwani unaanza waza hela umetumiaje!? Jinsi ulivoandika ni kama unanisema mm yani.
 
Yaani hapa nilipo kuna hela nimeisubiria karibia wiki mbili nikiwa namsumbua jamaa sana anipe hiyo hela sh laki tatu lakini baada ya kunipa jioni saa kumi na moja nikasema ngoja nitumie kama elfu kumi tu ya kufurahi ,nimeingia baa fulani arusha maeneo ya mushono inaitwa Mopao nikapiga kama laki na arobaini na nimekunywa na watu ambao hata leo siwakumbuki eti kwa sababu walikuwa wamekaa meza jirani na mimi saa saba hivi nikaondoka nikaenda picknick hadi alfajiri , Namshukuru Mungu asubuhi nakagua suruali nina alfu kumi na tisa hadi sasa hivi nimelala tu natafakari
Mm nikajuaga ni mm mwenyew inanitokea kumbe tuko wengi tunapitia maswahibu haya.
 
Yaaan sisi walevi tuna mateso na raha zinazo fanana. Mahesabu ya asubuh hua yanaumiza sana roho. Ukipanga kutoka na pesa kidogo gambe likinoga unavuta pesa kwa cm. Ukipanga kutoka pekeako ili usitumie pesa nyingi unakutana na washikaj from nowhere au unawaita mwenyew. Ukiwa na hela hutak kutoka home usiku usingiz hauji unajikuta unajiambia ngoja nikanywe bia 3 nirudi kulala unajikuta umekesha hukohuko...
All in all pombe zina chuma ulete maana zile hesabu za asubuh hazijawahi ku balance
Hahahaha hii ya kuita washkaji Kama unanisema mimi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom