Mlevi, mzee wa kupiga hesabu baada ya matumizi

Ajabu sasa mimi natamani kufanya hivyo kama alivyoelezea mleta mada...nilitaka kuanza wakati bado nategemea mshahara....
Umri unaanza kunitupa mkono ila ipo siku nitapita humo humo hata kwa miezi 6 tu!
 
Nawakumbusha kesho ijumaa mkumbuke huu uzi la sivyo jumatatu mtakuja na shuhuda hapa 😂😂
ijumaa watatumia advance salary halafu next week kwny kucheki salary pale ATM ndipo shughuli inaanzia,ila ili kutoa stress za machungu ya advance salary watainywa tena pesa iliyobaki kwny mshahara. 😂😂😂

Rat race.
 
dah ni hivi mleta mada unachotakiwa jua ni kua pombe sio tatizo ila mipango yako ndo tatizo...mimi hua nakunywa kuinachobaki baada ya kufanya maendeleo sio kilichokuepo...chengine ili niwake Zaidi ni kula vitu vigumu tu...siku jaribu kunywa kvant na safari ndogo 3 uone kama utatumia Zaidi ya elfu kumi..pia hawa wanawake sio kila mmoja lazima uhonge..jifunze pia kuwakopa na usiogope kuwaambia ukweli wakikuchukulia wa kishua akitaka sijui henesy mwekee nyagi tu kama hataki noma kwake ah ah
 
Mimi nimepumzika byereee kwa miezi kadhaa sasa,lkn hela ninayowazungushia ofa washkaji ni sawasawa na ningekua nakunywa tu.

Nimepumzika sababu ratiba yangu iko tait sa hivi na ninahitaji kuamka asubuhi kichwa kikiwa active.,ila ratiba ikiachia i'll be back.

Hyo noma Sana mie siwezi zungusha Mara tatu huku jamaa zikinichek tuu mbaya zaid mie sinywi aisee hapo mie Bora nichome Nyama nusu napiga mwenyewe nusu napelekea madogo home wakaonje vitu vya bar
 
Uzuri pombe ya kampan nlishaacha Ile huwa inafilisi sana Kama unaimudu hongera
Bahati mbaya kukaa bar pekee yangu nilishindwa mkuu.

Huko pamenikutanisha na watu wengi sana ambao wengine isingekua pombe nisingekutana nao sababu ya nafasi zao na imekutanisha na watu wa kawaida ambao wanasaidia kusukuma maisha mfano jana lile tatizo la umeme huwezi kununua luku kwny simu nilimcheki mwana (nilikutanaga nae B-Bar Sinza) alikua yuko zamu hapo kwny ofisi za hao jamaa nikamtumia info. na pesa chapchap nikatumiwa token zangu nikiwa zangu home,nika save time maana foleni ilikua sio ya mchezo kabisa.

Kiufupi sehemu nyingi muhimu kwa sasa nina contacts za wahusika wa hapo sababu ya pombe za kampani.
 
HAHAHAHAHAHAHAHHAHAHAHAHAAH hapo ndo utajua kwanini watu wana kunywa pombe za 1500 hadi buku mbili sio kwamba wana penda hapana ila matukiooo ya asubuhiii
Tatizo langu si bia ya 3000 kumbuka ukiwa mlevi wa style yangu hatakama ukiwa unakunywa bia ya buku bado utazua, tatizo hapa ni matumizi yasiyo kwenye bajeti nikilewa nakuwa na huruma sana na kupenda sifa za kijinga. Sio kwamba kila nikienda kulewa naenda na hela zote hizo hiyo hutokea mara chache account ikiwa vizuri kuna wakati naenda kunywa na 30 tu ikiisha narudi home. Pia elewa hata ukitumia hela ndogo bila bajeti ni ufujaji tu tunatakiwa kutumia hela kulingana na kipato chetu na vipaumbele vyetu vitu vya msingi kwanza then starehe kwa hela ya ziada.
 
kweli mkuu hapo nimekuelewa vizuriiii

Similar Discussions

Back
Top Bottom