mkwe mwenzio alikuwa GF wako, utafanyaje?

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,956
22,148
yawezekana ni hadithi ila ni hali halisi imemtokea mzee mmoja akaae london
majuzi alikuwa na harusi kubwa ya binti yake..walipofika kwenyeharusi wakakuta aliepembeni ni aliekuwa gfriend wake..akuamini alibaki na mshangao na wakabaki na furaha tupu baada ya kujua mwanae anaenda kuwa sehemu ya amani
 
Acha fix na upupu humu JF. Humu tunaweka facts ili zijadiliwe na si mambo ya kufikirika kama haya. Unataka kutuambiaje; harusi walipangaje washindwe kuonana mpaka siku ya harusi?!!
 
yawezekana ni hadithi ila ni hali halisi imemtokea mzee mmoja akaae london
majuzi alikuwa na harusi kubwa ya binti yake..walipofika kwenyeharusi wakakuta aliepembeni ni aliekuwa gfriend wake..akuamini alibaki na mshangao na wakabaki na furaha tupu baada ya kujua mwanae anaenda kuwa sehemu ya amani

nimejaribu kukuelewa imeshindikana kabisa...huyo aliyekuwa amekaa pembeni alikuwa pembeni wapi?huyo mwanae alikuwa anaolewa na gilfrnd wa babake?....sum ppl bana
 
yawezekana ni hadithi ila ni hali halisi imemtokea mzee mmoja akaae london
majuzi alikuwa na harusi kubwa ya binti yake..walipofika kwenyeharusi wakakuta aliepembeni ni aliekuwa gfriend wake..akuamini alibaki na mshangao na wakabaki na furaha tupu baada ya kujua mwanae anaenda kuwa sehemu ya amani

Hii kitu haielweki ni kama pumba hivi! samahani mkuu labda uandike upya!
 
Yeah sure.... mleta mada hujweka vitu fulani vizuri!!! BTW, Hivi wewe ni samsonmfaliala kweli au unatumia hilo jina tu with intent?? if that is your real name, then change it unajiexpose sana bila sababu halafu post zako nyingine hazijakaa vizuri sana kwako
 
Samson Mfalila nayemfahamu mimi ni mhariri wa gazeti la mwanaspoti, kabla ya hapo alikuwa mhariri wa michezo wa the Guardian ltd. Namfahamu sana na hawezi kuandika upupu kwa lugha ya kipupu kama hii. Naona huyu dada/kaka ameamua kumchafulia jina lake tu hapa!
 
yawezekana ni hadithi ila ni hali halisi imemtokea mzee mmoja akaae london
majuzi alikuwa na harusi kubwa ya binti yake..walipofika kwenyeharusi wakakuta aliepembeni ni aliekuwa gfriend wake..akuamini alibaki na mshangao na wakabaki na furaha tupu baada ya kujua mwanae anaenda kuwa sehemu ya amani
kiswahili kigumu hujaeleweka kabisa labda andika kwa kichina
 
yaani bor kusoma bandiko za malaria sugu duh!!!!!!!!!!!!!
 
ningeshauri kuwe na malipo flani ukitaka kuanzisha sredi.hii kuanzisha sredi bure nazani kuna watu wanaiabyuzi . (mfano hai nii hii sredi ambayo haieleweki kama dola ya zimbabwe)
:closed_2:
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom