figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,492
- 54,895
Habari yako mkuu. naomba kujua. je wewe cheo chako ni kipi?; DDO: daily drinkers officer(mnywaji wa kila siku),WDO: weekly drinkers officer(mnywaji wa mala moja kwa wiki), MDO; monthly drinkers officer(mnywaji wa mala moja kwa mwezi), au ADO; annual drinkers officer(mnywaji mala moja kwa mwaka)?. sikukuu ndo hizi. hata kama hujui rafiki yako, mpenzi wako, jirani yako ana cheo gani, hakikisha unajua kwenye hizi sikukuu. hata wewe mwenyewe unaweza jichunguza cheo chako ni kipi. mia
Mmmh..mnywaji wa nini sasa???!! Weka wazi.... Komoni,maji ya mende,soda, malta ya bakhressa,maji....eeeeeeh??
pia asisahau kuna DDDirectorsusisahau kuna WDO but gone DDO for the festive season
kilevi cha aina yoyote. hivi na wanaokunywa vinywaji laini (soft drinks) na wenyewe wanahitaji vyeo? Mia
Oh, kumbe unazungumzia walevi! Wanaokunywa kileo hawaitwi wanywaji, wanaitwa walevi. Usitake kuchanganya watu.

Mze wa mia, sisi wengine tunakunywa pale tunapokuwa na pesa. Nipe cheo mkuu.
Habari yako mkuu. naomba kujua. je wewe cheo chako ni kipi?; DDO: daily drinkers officer(mnywaji wa kila siku),WDO: weekly drinkers officer(mnywaji wa mala moja kwa wiki), MDO; monthly drinkers officer(mnywaji wa mala moja kwa mwezi), au ADO; annual drinkers officer(mnywaji mala moja kwa mwaka)?. sikukuu ndo hizi. hata kama hujui rafiki yako, mpenzi wako, jirani yako ana cheo gani, hakikisha unajua kwenye hizi sikukuu. hata wewe mwenyewe unaweza jichunguza cheo chako ni kipi. mia
Kuna HOURLY DRINKER OFISA-HDO