Mkuu wewe ni D.D.O, W.D.O, M.D.O au A.D.O..??

Hourly ndo KALI,COZ STRES ZA MIAKA 51 YA UHURU UNAZIHC TU KWA MBAALI!

hahahaaaa...!! amenchekesha sana. wapo watu kila ukikuyana naye kanywa. nawaheshimu sana. Ni moumer..sio wengine wanakunywa eti kesho yake ana hangover. wale hawajui hiyo kitu. Mia
 
SDC: Selective Drinker, Consutant

Anakunywa mara kwa mara, akinunuliwa, tena kwenye company fulani fulani tu, na drinks fulani fulani tu...

nmekusoma mwali. so wewe ni SDC?. mia
 
Hiyo drinker unamaanisha vinywaji vyote au vile vinavyotwist brain kido? Fafanua kwanza. Mimi ni Daily Drinker Officer wa Maji ya kunywa yaliyochemshwa na kuchujwa.

kila mtu na kinywaji chake. hapo umesema kwa upande wa maji, je bia ni vipi? Mia
 
Back
Top Bottom