Mkuu wewe ni D.D.O, W.D.O, M.D.O au A.D.O..??

figganigga

JF-Expert Member
Oct 17, 2010
25,483
54,853
Habari yako mkuu. naomba kujua. je wewe cheo chako ni kipi?; DDO: daily drinkers officer(mnywaji wa kila siku),WDO: weekly drinkers officer(mnywaji wa mala moja kwa wiki), MDO; monthly drinkers officer(mnywaji wa mala moja kwa mwezi), au ADO; annual drinkers officer(mnywaji mala moja kwa mwaka)?. sikukuu ndo hizi. hata kama hujui rafiki yako, mpenzi wako, jirani yako ana cheo gani, hakikisha unajua kwenye hizi sikukuu. hata wewe mwenyewe unaweza jichunguza cheo chako ni kipi. mia
 
Mmmh..mnywaji wa nini sasa???!! Weka wazi.... Komoni,maji ya mende,soda, malta ya bakhressa,maji....eeeeeeh??
 
kilevi cha aina yoyote. hivi na wanaokunywa vinywaji laini (soft drinks) na wenyewe wanahitaji vyeo? Mia
 
Naona mie niko pabaya sana labda ni CEO wa hao wote maana siku haipiti bora nizimue hata viroba 4.
 
Oh, kumbe unazungumzia walevi! Wanaokunywa kileo hawaitwi wanywaji, wanaitwa walevi. Usitake kuchanganya watu.

Mkuu wewe hunywi pombe nshakusoma. hivi kuna mlevi anayekwambia mimi mlevi au mimi nmeshalewa? walevi ni wale wanaolewa hadi kujikojolea au kujisaidia alipo. je wewe mlevi au mnywaji?. Mia
 
Mze wa mia, sisi wengine tunakunywa pale tunapokuwa na pesa. Nipe cheo mkuu.
 
Kuna HOURLY DRINKER OFISA-HDO
Habari yako mkuu. naomba kujua. je wewe cheo chako ni kipi?; DDO: daily drinkers officer(mnywaji wa kila siku),WDO: weekly drinkers officer(mnywaji wa mala moja kwa wiki), MDO; monthly drinkers officer(mnywaji wa mala moja kwa mwezi), au ADO; annual drinkers officer(mnywaji mala moja kwa mwaka)?. sikukuu ndo hizi. hata kama hujui rafiki yako, mpenzi wako, jirani yako ana cheo gani, hakikisha unajua kwenye hizi sikukuu. hata wewe mwenyewe unaweza jichunguza cheo chako ni kipi. mia
 
Habari yako mkuu. naomba kujua. je wewe cheo chako ni kipi?; DDO: daily drinkers officer(mnywaji wa kila siku),WDO: weekly drinkers officer(mnywaji wa mala moja kwa wiki), MDO; monthly drinkers officer(mnywaji wa mala moja kwa mwezi), au ADO; annual drinkers officer(mnywaji mala moja kwa mwaka)?. sikukuu ndo hizi. hata kama hujui rafiki yako, mpenzi wako, jirani yako ana cheo gani, hakikisha unajua kwenye hizi sikukuu. hata wewe mwenyewe unaweza jichunguza cheo chako ni kipi. mia

Hiyo drinker unamaanisha vinywaji vyote au vile vinavyotwist brain kido? Fafanua kwanza. Mimi ni Daily Drinker Officer wa Maji ya kunywa yaliyochemshwa na kuchujwa.
 
SDC: Selective Drinker, Consutant

Anakunywa mara kwa mara, akinunuliwa, tena kwenye company fulani fulani tu, na drinks fulani fulani tu...
 
Je wale wakununuliwa wana cheo gani? Ikumbukwe hawana muda maalum mpaka atokee mfadhili hata kama ni jumatatu asubuhi
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom