Aliyekuwa mkuu wa majeshi 1988 hadi 1994 jenerali Ernest Mwita Kyaro amefariki dunia saa 3:55 asb. akiwa njiani kuelekea Bugando hospitali.
Tweet by ITV
JK kazi ipo inabidi safari yake aisitishe kwa mara nyingineAliyekuwa mkuu wa majeshi 1988 hadi 1994 jenerali Ernest Mwita Kyaro amefariki dunia saa 3:55 asb. akiwa njiani kuelekea Bugando hospitali.
Tweet by ITV
RIP General Kyaro!
.............Jambo ninalomkumbuka kwalo ni kwamba inadaiwa alivaa vyeo vyote bila kuruka hadi alipofikia cheo cha Major General (Two Star) ambapo alirushwa cheo kimoja na kuwa General (Four Star)!
Naamini na yeye mazishi yake yatakua LIVE kwenye LUNINGA ya TBC1 kama ya KANUMBA....................
RIP Mkuu wa Majeshi wetu Mstaafu
Anahudhuria misiba muhimu kwa taifa tu mkuu!Mh Rais atachoka na Misiba
Rip gen kyaro
aliyekuwa mkuu wa majeshi 1988 hadi 1994 jenerali ernest mwita kyaro amefariki dunia saa 3:55 asb. Akiwa njiani kuelekea bugando hospitali.
Tweet by itv
Wakati nchi imewekwa kwenye maigizo ya Kanumba .........tunampoteza shujaa wa vita ..,mkuu wa majeshi ya ulinzi na usalama Generali Ernest Mwita Kiaro .....ikiwa ni wiki moja baada ya kumpoteza Mkuu wa jeshi la polisi mstaafu inspecta general Haroun Mahundi.........
Sasa Mungu anataka kutonyesha watanzania watu muhimu kwetu...
Mh Rais atachoka na Misiba
Rip gen kyaro
Aliyekuwa mkuu wa majeshi 1988 hadi 1994 jenerali Ernest Mwita Kyaro amefariki dunia saa 3:55 asb. akiwa njiani kuelekea Bugando hospitali.
Tweet by ITV
R.I.P KYARO!
Alikuwa mkuu wa majeshi TZ je ktk uhai wake alifanya kitu gani cha kipekee chakutufanya tumuenzi kitaifa?
Mh Rais atachoka na Misiba
Rip gen kyaro
Ungekua na upeo mkubwa ungefahamu..., kitendo cha kuwa mkuu wa majeshi ya ulinzi na usalama, hiyo kwanza ni distinction, unadhani ni kazi ndogo kuongoza maelfu ya watumishi(wanajeshi), kuhakikisha vikosi vya mipakani vipo makini through daily briefings(sit-reps) ambazo ni lazma aambiwe nchi ipo salama (land,sea,air) na yeye kum-brief president nchi iko salama, daily, kuhakikisha military intelligence ipo alert na hatari zote na mambo lukuki yanayohitaji maamuzi yake, nadhani ulikua unaongea kwa utani, sidhani kama ulikua serious.