Mkuu wa zamani wa Majeshi ya Ulinzi is NO MORE

I have quoted John F .Kennedy somewhere else but I think it is pertinent that I repeat that quote here:- " A nation reveals itself not only by the men it produces but also by the men it honors......."

Kwa hii quote nchi yetu inajieleza yenyewe! Sina hakika kama huyu general atapewa attention kubwa hata na media sembuse serikali! RIP gen.Mwita
 
Alikuwa na elimu gani?

Alikuwa na elimu ya kijeshi...

officer cadet
artillery
infantry
company comander
ndc etc....
that is minimal for any comander of his rank.......

au wewe unaongelea elimu za uraiani ...those in military are just basic ....requirements.....ukishajiunga kuna elimu tofauti ......kabisa...,kwenye kuongelea strategy za kijeshi ....general ambaye aliingia na basic kama graduate na aliyeingia form four akapandaa taratibu....hakuna tofauti unless kwenye core military proffessional kama pilots ,doctors etc...sasa kamanda amefundishwa kuwaunganisha wote hawa.......na kijeshi kamanda mzuri ni yule aliyeivia joshing..

majemedari wengi nyerere aliwarisdhi TAR kama darasa la nne la mkoloni....akaazisha shule makambini za hadi form four ....wakaendelezwa ..wote wa aina hiyo kufanya mitihani ya form four .....,cambridge...then wakapelekwa sandhurst academy au canada kabla hajaanzisha Monduli academy ...ambayo wakuu wa majeshi wa mwanzo product ya tanzania military academy ni hawa wa sasa.........msifikiri makamanda hawakusoma!
 
RIP Gen Kyaro. . . Swali la kizushi kwanini wakuu wengi wa majeshi wanatoka mkoa wa Mara ?.
 
Wakati nchi imewekwa kwenye maigizo ya Kanumba .........tunampoteza shujaa wa vita ..,mkuu wa majeshi ya ulinzi na usalama Generali Ernest Mwita Kiaro .....ikiwa ni wiki moja baada ya kumpoteza Mkuu wa jeshi la polisi mstaafu inspecta general Haroun Mahundi.........
Sasa Mungu anataka kutonyesha watanzania watu muhimu kwetu...

Watu waliotoa michango ya ukweli kwa Taifa letu (kama kina Shaban Robert, Prof Haroub Othman, Gen Mayunga, Gen Walden, Mzee Pwagu, Mzee Jongo na jabali la muziki Marijani Rajabu nikitaja wachache tu) serikali na vyombo vya habari uchwara (specifically Clouds) hawawapi umuhimu unaostahili! Lakini kina Kanumba (mtu ambae ni mzazi wa mtoto mdogo hapa ajitokeze kama angependa Kanumba awe role model wa mwanae) wanapewa coverage ya ajabu! Sina shida na Kanumba kupendwa/kuheshimiwa na watu wa aina yake, lakini kupewa sura ya kitaifa!!!??? Naungana na Rev Masanilo kwenye thread yake ya kutuzodoa Watanzania.
 
Alishasaini in advance

ch2.jpg
MwanaAsha Kama Simuoni Vile au si mambo yake haya!
 
Alikuwa na elimu ya kijeshi...

officer cadet
artillery
infantry
company comander
ndc etc....
that is minimal for any comander of his rank.......

au wewe unaongelea elimu za uraiani ...those in military are just basic ....requirements.....ukishajiunga kuna elimu tofauti ......kabisa...,kwenye kuongelea strategy za kijeshi ....general ambaye aliingia na basic kama graduate na aliyeingia form four akapandaa taratibu....hakuna tofauti unless kwenye core military proffessional kama pilots ,doctors etc...sasa kamanda amefundishwa kuwaunganisha wote hawa.......na kijeshi kamanda mzuri ni yule aliyeivia joshing..

majemedari wengi nyerere aliwarisdhi TAR kama darasa la nne la mkoloni....akaazisha shule makambini za hadi form four ....wakaendelezwa ..wote wa aina hiyo kufanya mitihani ya form four .....,cambridge...then wakapelekwa sandhurst academy au canada kabla hajaanzisha Monduli academy ...ambayo wakuu wa majeshi wa mwanzo product ya tanzania military academy ni hawa wa sasa.........msifikiri makamanda hawakusoma!

Unajua PM mimi niliamini askari akishakuwa officer lazima awe sawasawa kimaadili, kiistrategy na kadhalika. Sasa huyu Col au sijui Luten Col yeye alikuwa Geshi gani? Maana tunayoyaona ni tofauti na yanayoendelea jeshini
 
Ndugu yangu utapata shida bureee, kwanza utaulizwa sasa hivi "kyaro ndo nani" waandalie watz maelezo ya kutosha, unayo?
 
Back
Top Bottom